Sunday 13 April 2014

Mzee Gurumo amefariki dunia R.I.P

R.I.P MUHIDIN GURUMO

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Dansi nchini Tanzania ambaye alitangaza kustaafu mwaka uliopita Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia leo April 13, 2014 saa 9 Alasiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Taarifa kutoka kwa meneja wake zinasema kuwa Marehemu mzee Gurumo alikuwa akisumbuliwa na taizo la mapafu kujaa maji.

Mipango ya mazishi inafanywa mara baada ya familia yake kukutana kwa kushirikiana na Chama cha Muziki Tanzania.

Friday 11 April 2014

Dekula Vumbi live-chante maquis original-kasongo


DEKULA BAND NDANI YA HIGH LIFE 18 APRIL 2014


High Life intar Etablissemanget för första gången och bjuder upp till dans med den bästa tropiska klubbmusiken från världens alla hörn. 

Vi är extra stolta att till premiären kunna presentera Stockholms bäst bevarade hemlighet:

✮ DEKULA BAND ✮

Dekula Band är utan överdrift det svängigaste och mest dansanta band som går att hitta i Stockholm. Vi blev som bortblåsta när vi - lite av en slump - hamnade på deras husklubb ”Lilla Nairobi” för första gången. Varför har ingen berättat att den svängigaste och mest energifyllda soukous finns här mitt i Stockholm?

Sedan dess har Dekula Band byggt upp sitt rykte om att vara stans bäst bevarade hemlighet som orsakar sprakande explosioner på dansgolvet. Bandet består av medlemmar från Kongo, Tanzania och Angola och grundades av Dekula "Vumbi" Kahanga som har spelat med flera legendariska kongolesiska band i både Kongo och Tanzania men numera är de baserade i Stockholm.

✮ HIGH LIFE ✮

High Life är Dj-duon som du kan höra regelbundet i Musikguiden i P3 när de ritar om den musikaliska världskartan och visar att grym dansmusik inte enbart kommer från Berlin eller New York utan likaså från Buenos Aires, Luanda och Kinshasa. I centrum står musiken och dansglädjen istället för stilar eller format. Missa inte när de förvandlar Etablissemanget till en gungande och glittrande oas.

För att världen är en diskokula!

Etablissemanget, Södra Teatern
kl. 21-02, Åldersgräns: 20 år
Entré: 100 kr inklusive garderobsavgift.
I inträdet ingår tillgång till klubbarna som huserar både i Södra Bar och Etablissemanget. Denna kväll delar vi Södra Teatern med bästa Cocotaxi &Makks och deras klubb Hot Sirrup

DEKULA VUMBI KUZINDUA ALBAM "SHUJAA MAMMADOU NDALA" MAY 2014

DEKULA KAHANGA AKA VUMBI
ATATOA KIBAO KIPYA MWEZI WA TANO 2014
''Shujaa Mamadou Ndala''
KWA HIVI SASA ANA ISHI SWEDEN NI MZALIWA DRC

Mvua yasomba tuta la reli ya Tazara.


 Shughuli za uchukuzi wa mizigo toka bandarini kwenda mikoani na nchi za jirani kwa njia ya reli ya Tazara zitasimama kwa siku saba,kufuatia  maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar-es-Salaam,kusomba tuta la reli ya tazara umbali wa mita arobaini na kuacha mataruma ya reli hiyo yakining'inia.
Meneja mkuu wa mkoa wa mamalaka ya reli ya Tanzania na Zambia Tazara, mhandisi Abdalah Kimweri amesema kuwa mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar-es-Salaam,zimeathiri miundombinu ya mamlaka hiyo umbali wa kilometa nane kati ya maeneo ya kurasini na yombo jijini Dar-es-Salaam.
Mhandisi huyo medai kuwa,katika maeneo mengi inapopita reli hiyo hasa jijini Dar-es-Salaam,makambako mkoani njome na tunduma jijini mbeya baadhi ya wananchi wamejenga karibu kabisa na reli hiyo jambo ambalo ni hatari kwao na kwa reli ya Tazara na kudai kuwa tayari wameisha wajulisha wananchi kuondoa maendeleo yao kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.
Mhandisi ujenzi wa mamlaka hiyo ya Tazara kwa upande wa Tanzania mhandisi Richard Festo,amesema kuwa katika maeneo ya temeke jijini Dar-es-salaam,ujenzi holela wa mfumo wa mitaro kuelekezewa kupita kwenye njia ya reli kumechangi kwa kiasi kikubwa kuchangia kuharibu miundombinu ya mamlaka hiyo,huku baadhi ya wananchi wakitaka kulipwa fidia kwa makaburi yao yaliyosombwa na maji.
Reli ya tazara yenye historia ya urafiki baina ya nchi tatu za Tanzania ,Zambia na uchina ikiwa na urefu wa kilometa 1860 kutoka jijini Dar-es-salaam nchini Tanzania hadi new kaplimposhi nchini Zambia ,iliyoanza kutumika kusafirisha abiria na mizigo kwenye mikoa ya Pwani,Morogoro,Iringa na Mbeya iliyo anza kutoa huduma hiyo mwanzaoni mwa miaka ya 1976 ikiwa imejengwa na kampuni kutoka China.

source.itv