Monday 29 November 2010

UJUMBE MURUWA

TOYOTA COW-ROLLA

MADE IN KISHUMUNDU

JIDE NA MSONDO NGOMA LIVE SONGI"CHEUSIMANGARA"



imekaa njema sana hii,napendaa sana wanamuziki wa zamani wanapokutana na wakisasa na kufanya kitu pamoja,huwa mara nyingi inakuwa bomba sana.na dedicate haka kawimbo kwa rafiki yangu CM.

YANAYOJIRI SWEDEN"Swedish parents jailed for 'spanking' kids"



A Swedish court has jailed the parents of three children who were regularly beaten since the age of three in what they claimed was a method of discipline prescribed in the Bible.

The couple, from Karlstad in central Sweden, were imprisoned for nine months apiece, according to a Sveriges Television (SVT) report.

Corporal punishment, formally outlawed in Sweden in 1979, was a regular feature of three of the couple's four children's lives, the Värmland district court heard.

According to the court transcripts, the parents "explained that they had used, what they themselves described as spanking, physical punishment as part of their methods for raising the children."

The court heard that the couple had used a hairbrush, a wooden plank or a hand to punish their three eldest children, SVT reported.

The father explained that when the children did something wrong they were given a first warning and then a second and if they, for example, carried on cycling in the street without permission, they would then receive a physical punishment.

The court found that "despite the details of the case at hand" the parents "had a loving and caring relationship to their children", but that the systematic treatment metered out was in breach of the law and deserving of a custodial sentence.

The parents were furthermore order to pay damages of 25,000 kronor to each of the affected children.

The three children at the centre of the case, as well as a younger sibling, have been in care since the preliminary investigation was opened against their parents in the beginning of the summer.

Parents' rights to meter out physical punishment was revoked already in 1966 in Sweden, with a formal legal ban coming into into force in July 1979. Children in Sweden now enjoy the same legal protection from physical assault afforded to adults.
source:the lokal

FILAMU YA OFF SIDE KUZINDULIWA KINSHASA

Filamu ambayo inasubiriwa kwa hamu kuingia katika soko la filamu Tanzania, ikiwa inaigizwa na wasanii mashuhuri wa hapa nchini Steven Kanumba, Vicent Kigosi na Irene Uwoya itazinduliwa kwa mara ya kwanza Congo.

Ikiwa inasambazwa na Steps Entertainment, hii inaonekana kwamba wasamabzaji hawa wanajribu kupanua soko kwa kuweza kushirikisha wadau wengi katika filamu. Kuvuka mipaka ni hatua kubwa katika Tasnia ya filamu Tanzania.
Steven, Vicent na Irene wataelekea huko wakiambatana na wasamabzaji wao na utafinyika uzinduzi mkubwa na wa mara ya kwanza kutokea katika Tasnia ya filamu Tanzania. Steven na Vicent wanaandika historia Tena
Congo kaeni mkao wa kula, Filamu hilo linakuja
chanzo:hapa


sijui imekuwaje kuwa na idea ya kuzindua movie ya kiswahili congo D.R.C,lakini yote ni ubunifu tu na vijimambo sie tunasubiri tu hilo muvi mitaani

Saturday 27 November 2010

nigerian movie"MILLENIUM LADY- PART ONE"

NO-1 NO-2 NO-3

poleni sana wadau wangu jana sikuweka movie ya kibongo kama kawaida yetu nilibanwa kidogo(mipakazo),leo nimeona  tubadili mazingira nimeweka movie hii ya wapopo,ni nzuri sana nayo tuangalie kidogo tuone tofauti.na tujue wapi wasanii wetu wana chemka.maoni yanakaribishwa sana tu.enjoy

Friday 26 November 2010

BAADA YA KUTUHUMIWA KUTAPELI MIL8 MENEJA MUJIBU WA FM APIGWA CHINI

meneja wa fm academia"NGWASUMA" mujibu hamis
habari zaidi zifuate chini hapo
jamaa katoka mbali sana na hii bendi.nakumbuka kipindi fm wamefungwa huyu mujibu ndio alikuwa mshabiki wa bendi hiyo tu na kipindi chote bendi hiyo walipowekwa ndani ni mujibu ndie aliyekuwa anawapelekea msosi.mpishi akiwa loving chitoto(sijui naye kapotelea wapi).baada ya hao fm kutoka jela wakafurahi sana na roho ya huyu bwana mujibu kuwasaidia na ndio wakamtunuku kumpa cheo hicho asimamie bendi.nakumbuka fm walipotoka jela walikuwa hawana kitu kabisa na wanakaa gesti moja pale kinondoni jirani na chez ntemba.wakajitahidi kujichangisha kidogo nakumbuka walinunua drum na gitaa "vyote mchina"wakaazimaazima na amplifier na baadhi ya vyombo.well nakumbuka vizuri nilikuwa kameneja pale club arcade kipindi hicho na nilishawishi uongozi wawape tenda wapige muziki pale baada ya bendi ya beta la muzika kutosa kupiga. siku hiyo wameanza kupiga nakumbuka alikua ni nyoshi,yule mpiga gita wao mfupii nimemsahau,na wengineo siwakumbuka walikuwa watano tu,kwa nini nimesema drum mchina?mpaka muda wanamaliza muziki saa sita usiku drum ilikua imetoboka mbaya,na gitaa kuna vinyuzi vilikatika na amlifier ilikua inatoa mkoromo wa kufa mtu.ila nitakachowasifia jamaa walipiga muziki safi sana jioni hiyo ingawa vyombo vilikua vinawaangusha.nakumbuka baada ya shoo hiyo niliulizwa we umeleta bendi gani hii?nikawaambia hii bendi ni nzuri sema tu sasa hawana vyombo na hawako wote.nakumbuka baada ya hapo tenda ya pili kupiga pale wakatoswa,nikawaleta twanga pepeta na choki,kipindi hicho banza kahamia T.O.T.na sikuwasikia tena fm mpaka siku moja nikawafuma bahari beach wakijifua vibaya baada ya kupata udhamini wa yule pedeshee (kibongobongo)chaula,na ndio toka walipotoka huko mazoezini,ndio ikawa fm academia ya ukweli na walikua wanachapa muziki balaa,na ndio wakazindua albamu yao wajelajela gwaa"PRISON".pale fm club kinondoni. toka hapo na walipopata mkataba na heineken beer ikawa ntolee mpaka leo.

Thursday 25 November 2010

OLD GOLD:REAL WENGE Bon.Chic.Bon.Gere. 4x4

sasa katika hii nyimbo waweza kuwaona wanamuziki woote ambao sasa wana bendi zao walivyokuwa.utamuona marie paul,J.B.werrason,allain makaba,masella kipindi hiyo bado vijana wadoogo kabisa lakini mambo yao ilikuwa balaa.

MISS AFRICA CRUISE"BEACH WEAR"


michelle jeng(TZ)ndiye alishinda



linda(TZ)sielewi ilkuwaje hakushinda lakini wenyewe mtaona ushindani ulivyokuwa





called hallex berry from cameroon (no 3),the girl was real champ and confident there. especially cat-walk na pozi za ki-miss wow sidhani kama kuna aliyemfikia.by the way ukija kwenye uzuri na utulivu michelle aliwaacha mbali sana.myself sikuamini michelle alipotangazwa mshindi.na ilikuwa fare kabisa.nina picha mbili tatu za ushindi zitakuja baadae.

togo no 2(mashemeji hawa sisemi sana)

fromm (KE)watani walijiamini sana kwa mrembo wao huyu

hii sijui ilikuwa wapi hii imetulia(maybe somalia)

kama mnavyoona hawa wanaweza sebene tu,urembo watuachie TZ








mnaweza kuona wenyewe ushindani ulivyokuwa mkali.hata hivyo miss wetu michelle aliibuka mshindi.kuna pati anafanyiwa na wana uppsala alikotokea angalia post HAPA utaona tangazo la hiyo pati.

GUESS WHO???



MGUU PANDEZ,MGUU SAWAZ,NYUMAZ GEUKA MBELEZ TEMBEA SHOT KULIA SHOT KULIA

du huyu msoja hata akipewa denda anaweza kummeza mkewe hilo domo

unakumbuka enzi ya chipukizi?akumbuka enzi hizo maana tulikua tukimaliza shule jioni lazima ukahudhurie mafunzo ya chipukizi(CCM bana)nilikuwa naitwa afande nanihii,maana kupata uafande ilikua shughuli nzito.lazima uonyeshe ushujaa wako wa ugumu wa kukabiliana na vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na maisha.kulikuwa na kipindi mnaenda ishi maporini juu ya miti sometime,lakini nashukuru mungu ilisaidia nilipaona chekslovakia miaka hiyo.nilienda huko kwaajili ya skauti na ndio niliporudi nikapewa uafande chipukizi.skauti ilikuwa ni kama jeshi.maana mnajifunza jinsi ya kuishi katika mazingira tofauti na watu tofauti,leo hii inasaidia katika maisha haya.kipindi cha uafande chipukizi nilikuwa naogopewa na hawa walio chini kiasi ambacho wakikuona wanakimbizana wenyewe.maana mtu akileta kujua unamtime muda wa paredi.muda huo atakula fimbo za mgongo huku anatembea kikakamavu mbele ya mgeni rasmi.ilikuwa hamna kughairi mgeni rasmi yuko mbele wee,basi nasisi maafande mradi visa tu unamtafuta mtu wako mda huo wa pared unampa mboko saafi,akimaliza pared unamwomba msamaha kwamba "eeh mshkaji sore si unajua nilikua kazini"sijui kama mambo haya yapo tena(skauti na chipukizi)

Wednesday 24 November 2010

ICE BLACK PARTY IN BONGO

WADADA KAZI HIZO STOCKHOLM

English speaking babysitter wanted in Soder


Ad type:Wanted
Location:Stockholm
Date added:23 Nov 10

We are looking for a reliable and creative babysitter for our 5 year old boy, you need to love being around kinds and speak good English and we will welcome you in our family. Approx 6-8 hours weekly, afternoons or evenings.
Please send your CV with your motivation and experience to copperbolt@gmail.com, we'll get in touch. Thanks.

Refugee child denied care by Swedish hospital

A hospital in central Sweden refused to perform an operation on a 16-year-old unaccompanied refugee boy because the doctor didn't think the Swedish Migration Board (Migrationsverket) would pay for the procedure.The boy, originally from Somalia, sought treatment for a broken arm that hadn’t healed properly, Svergies Radio (SR) reports.

Pain from the poorly healed break, which occurred while the boy was living in a transitional housing facility in Italy, made it difficult for him to sleep, prompting him to seek medical attention in Sweden.

He visited Kärnsjukhuset, the largest facility within the Skaraborg Hospital system in
Skövde, where he had his arm x-rayed by an orthopedic specialist.

While the doctor said an operation was necessary, he refused to go ahead with the surgery in part because he claimed the hospital would only reimbursed by the Migration Board for emergency care.

Even though health authorities for Västra Götaland region explained to the hospital that Swedish laws stipulate that children seeking
asylum have the same right to healthcare as other children, the hospital nevertheless refused to treat the boy.

Now Mölndal municipality, where the 16-year-old first came when he first arrived in Sweden, has reported the hospital to the National Board of Health and Welfare (
Socialstyrelsen).

source:thelokal.se

huu ni unyanyasaji mkubwa sana huu,lakini sijui maana kuna sheria mpya itaanzishwa rasmi muda si mrefu kwamba illegal immigrant wana haki ya kupata matibabu na elimu bure.

 

WAJUE MAWAZIRI WAKO HAPA

1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mathias Chikawe
Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu:  Stephen Wassira
2.Ofisi ya Rais  – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia
3. Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano)  Samia Suluhu
2. Ofisi ya  Makamu wa Rais – (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa
4. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge): William Lukuvi
2. Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Nagu
5. Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Huruma Mkuchika
Naibu: Aggrey Mwanri
Naibu: Kassim Majaliwa
6. Wizara ya Fedha Mustapha Mkulo
Naibu: Gregory Teu
NAibu: Pereira Ame Silima
7. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha
Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki
8. Wizara ya Katiba na Sheria Celina Kombani
9. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi
10. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Mathayo David Mathayo
Naibu: Benedict Ole Nangoro
12. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Naibu: Charles Kitwanga
13. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka Naibu: Goodluck Ole Madeye
14. Wizara ya Maliasili na Utalii Ezekiel Maige
15. Wizara ya Nishati na Madini William Mganga Ngeleja 1. Adam Kigoma Malima
16. Wizara ya Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli
Naibu: Dr. Harrison Mwakyembe
17. Wizara ya Uchukuzi Omari Nundu
Naibu: Athumani Mfutakamba
18. Wizara ya Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami
Naibu: Lazaro Nyalandu
19. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
Naibu: Philipo Mulugo
20. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Hussein Mpanda
Naibu: Dr. Lucy Nkya
21. Wizara ya Kazi na Ajira Gaudensia Kabaka Makongoro Mahanga
22. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba Umi Ali Mwalimu
23. Wizara ya Habari, Vijana na Michezo Emmanuel John Nchimbi
Naibu:Dr. Fenella Mukangara
24. Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel John Sitta
Naibu Dr. Abdallah Juma Abdallah
25. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Prof. Jumanne Maghembe
Naibu: Christopher Chiza
26. Wizara ya Maji: Prof. Mark James Mwandosya
Naibu: Eng. Gerson Lwinge.

AFRICAN NEW CLUB (CLUB NILE) .STOCKHOLM. PREMIER 27TH NOV. 2010‏

Maestro & Club Nile presents
TROPICAL CONNECTION ( Stockholm Hi-Life club) saturdays  21 – 03
Bringing new  vibes to Stockholm. and  highliting the excellent standard of african music.

A melting pot of cultures and diverse populations, Stockholm has now beginning to create a deep appreciation for ethnic bars and nightclubs. Visitors to Stockholm interested in locating African club
won't be hard pressed in finding one. Patronisers enthusiasts won't be disappointed either, given the large number of urban and suburban population in Stockhom. After a week of hardwork, why not try
a night out on the town clubbing african nightlife, the sound of eclectic Afro-beat with some incredible guest djs behind the decks.

Stockholm's new hottest spot every saturday
Premier : Sat. 27. Nov

Dj,s of the night :
Dj Mike ( Cameroon)
Dj Fortune ( Nigeria)
 
MUSIC POLICY► Naija Pop ► Hip-Life – Kwasa Kwasa  ►Ug Flava
► Rai ► Kwaito ►Zoukous  ►Bongo Flava
► Calypso & Soca ► Afro Beats Party Classics

Adr : Hornsgatan 82
T-bana station Mariatorget
Tel: 08 845910
Entry 100kr.

For more info or reservations call or text any of the numbers below:
0736382986

Tuesday 23 November 2010

LADY JAY DEE NA SIKINDE LIVE


VERRY GOOD KOLABO,NIMEFURAHI SANA KUMSIKIA MZEE GURUMO SAUTI YAKE HAIBADILIKI NA SOLO LINAVYOUNGURUMISHWA NA MABERA SI MCHEZO,YAANI NIMEKUMBUKIA ENZI ZILEEE AMANA ILALA PALE PALE UKUMBI WAO WA NYUMBANI,KULIKUWA KUNA MALORI NA MATRELA YAKE YAMEFUNGA PALE AAH KWA WALE WAPENDA MIZIGO HEAVY DUTY WALIKUA WANAJIENDESHEA TU.RAHA SANA

ILA KUENDESHA  LAZIMA UVAE HELMET OHOOO TUTAKUSAHAU.

MODELS





 VP TENA MNATAKA KUTUPIGA WENZENU MABOMU YA MACHOZI




aladji aladji

SHANGWE ZA STOCKHOLM SODRA IJUMAA

baada ya kutoka movie mimi na mamaa bella XXL,tukaona muda bado unaruhusu yanini kurudi nyumbani kwenda kugombania remote,tukaona twende sodra tukalicheze sendemaa ya moto.na yeye sababu ni mpenzi wa sendema hakujivunga.

mlangoni nikakutana na jamaa yangu huyu bwana nsunsulima maganga mwelee mwelee aliponiona akacheeeeeeka
 .
kuzama ndani nikamkuta pia tamim a.k.a ngumi tofali

mkuu huyu ni mtaalamu wa kutandika zile za kina mike tyson na muhamad alli lakini hapa imebidi atundike daluga kwanza hadi hapo baadaye
tukafurahi kuonana maana tulipoteana toka siku moja kuonana kwenye kazi moja ya ku-lift vitu vizito sana,mi nilichemka maana weight yangu na hiyo kazi vilikua haviendani,na ukizingatia jana yake nilikua nimeweka vyombo,basi weee,lakini mshkaji aliokoa jahazi.

bwana lomu masai nae alikuwepo,naona alikuwa tayari sailensa

nikakutana pia na ndugu zangu hawa,huwa tunaonana sana mitaa ya kati pale kwa yesu kuna raha


nikakutana na mkuu huyu pia tulifurahi kufahamiana zaidi.

ilikuwa safi sana maana unajua tena hapa kila siku mtu unaishia kupiga makoti makoti,kisha treni nenda rudi,kisha nyumbani ule ugali na vibawa ulale miaka nendaa rudii,inakuwa njema sana unapoenda mahali uankutana na wamatumbi wenzio mnabonga kiswazi huku story na report za hapa na pale,sio kila siku tuna addopt tabia za kununaa tuu ndani ya matreni na mabasi kama wenzetu hawa,mwisho tunaishia kunuka midomo.