Monday 1 November 2010

ANGA ZA BILAL MAS***I

 kaopowa
 kibao kata
si mbaya ukiosha macho

jirani yangu huyu wa zamani kwa visa simuwezi,maana nikikumbuka vituko vyake mtaani hamu sina.naona analiendeleza.

picha:8020 fashion.

1 comment:

  1. Issac usiute nami niliuwa jirani yako maana huyu ni jirani yangu hahahaaaaa simsahau huyu bidada kwa kashda,ughaibuni tunamiss tashtiti za ukweli hahahaaa,ila huyo hajaopoa ila nae kama bilaila wa mashauzi anakuambia WANAUME WA KINONDONI WANANUKA USHUZI pata picha akiongea mwenyewe.

    ReplyDelete