Thursday 4 November 2010

KOFFI OLOMIDE-LIVE ZENITH SKOL MANDRAMANDA SEBENE

watu wenye kazi zao wako kazini ooh chezea wao,sebene linachapwa kiumakini kabisa.hawa jamaa wanyime chakula na kila kitu lakini wapigie muziki basi,hata nchi yao sasa hivi hawaikumbuki tena wao wanakalia kucheza ndombolo tuu mpaka sasa wenye akili zao wanawasaidia kuchota madini na rasilimani zao.wakichoka kusakata masebene yao,wataambulia mashimo tu,dhahabu na cottan zote zitakuwa ziko AMERIKAAA.kalaghabaho.

No comments:

Post a Comment