Monday 29 November 2010

JIDE NA MSONDO NGOMA LIVE SONGI"CHEUSIMANGARA"



imekaa njema sana hii,napendaa sana wanamuziki wa zamani wanapokutana na wakisasa na kufanya kitu pamoja,huwa mara nyingi inakuwa bomba sana.na dedicate haka kawimbo kwa rafiki yangu CM.

1 comment:

  1. asante kwa dedication,tutakuwa pamoja daima.
    thanks.

    ReplyDelete