Wednesday 17 November 2010

MAMBO YA KUCHAPA UBWII MPAKA LIAMBA


inabidi uwe na moyo wa kujibu maswali ya mama watoto unaporudi likwili,maana sometime ukileta fyoko unaweza ukala mbata ama bakora mpaka ukashangaa,si unajua time hizo unakuwa huwa balance,maana umezitandika,kisha ukalala kona ukatandikwa usiku mzima,unarudi homu umechoooka,halafu unamkuta mwenye mali kafura kwa hasira.mda huo nguvu zote unakuwa umepembua.hata ukisukumwa kwa ukucha unapiga mwereka.halafu ndio uwe na mama limejazia jazia kifua kama hapo kwenye picha waweza kula kichapo mpaka ukaita majirani waje kuamulia,usiulize ishanitokea hii mdau.wakiamuaga huwa wanaweza.

No comments:

Post a Comment