Thursday 4 November 2010

STYLE ZA KUANGUSHA GARI UKISHAZICHAPA

unapokuwa unazichapa na unajua baadaye utaangusha gari jitahidi sana usiangushe kwa style za namna hii maana huchelewi kukuta vijana wamekuchakachua ikawa aibu kwa shemeji.angusha kiume kichwa umeangalia juu mbinguni mawinguni at least mambo yako yanakuwa safe.

No comments:

Post a Comment