Wednesday 10 November 2010

JB MPIANA NEW SEBENE"MPUNDA SOYONS SERIES"



mcheki binadame papaa cheri hapo dk ya 5:25 alivyozuga kidogo,jamaa mkali ila siku hizi kawa mvivu kweli.sijui ni kushiba pesa ama mawazo.nakumbuka enzi zake za wenge B.C.B.G 4x4 alikuwa anachapa usipime,kundi zima walikuwa wanamgwaya kwa kucheza na kuimba.

No comments:

Post a Comment