Monday 8 November 2010

MANGO GARDEN WEEK-END ANGA ZETU HIZI ZA KUJIDAI

nyomi ni la kufa mtu humo ndani watoto wa anga za jirani wakumwaga

unoz ni kama kumsukuma mlevi

style kama hizi kitu kawaida kabisa,lakini kama umetoka huko matombo mlogolo lazima uduwae

yaah ikifika sebene linaunguruma pale hamchelewi kukisikia kama mko kwa werrason

wakongwe lily interno na madinda
mkulu mkongwe adlphe mbinga nasikia karudi twanga kuliendeleza libeneke

wachuchu wanang"ara,wewe tu waweza kujifanya pedeshee siku moja moja ubahili ukaweka kando ukajipa raha.

No comments:

Post a Comment