Tuesday 16 November 2010

POLISI NIGERIA WATWANGANA KUGOMBEA NAIRA 20!

 20 naira ambayo hata haifiki swede krona 1



hizo ngumi zotee jama wanatwangana ni kwa ajili ya naira 20=0.90 s.e.k.!upo hapo?sasa ndo uelewe hali ni ngumu namna gani huko afrika,usikubali kuacha acha change huko madukani ama kuwapasia hawa jamaa wapiga mizinga ndani ya treni,ni bora utafute kijisehemu cha kuhifadhi zikijaa unabadilisha kwa noti unamtumia jamaa yako yoyote back home,hawa jamaa wamenaswa wakichapana baada ya mmoja wao kupokea hiyo naira 20 barabarani km rushwa,naona alikua anatoa nje kuwaganjia wenzie ndio wakataka kumtoa roho.sasa embu fikiria una cash yako ya kushiba halafu unakamatwa na polisi dizaini hii utatoka salama kweli??si matani maana mambo haya polisi bongo pia wanayo sana.siku moja nishawahi kusindikizwa na polisi hadi mtaani kwenda kukopa hela ili nimpe rushwa!na kosa lenyewe alilonikamata nalo la kupakaziwa.polisi wa kibongo noma sana hakyanani

No comments:

Post a Comment