Wednesday 17 November 2010

EID UL-ADHA NJEMA WADAU

shughuli njema wadau ingawa naona kama inaenda na kuishia sailensa,mpaka muda huu hata mwaliko mmoja wa kuja telemsha ule wali mchafu sijapata sasa sijui vipi,tukumbukane bandugu sio mnatafuna sikukuu wenyewe tu majumbani,ingekuwa dar saa hizi aah kwa sisi mabachela enzi hizo sikukuu kama hii unakua unatembea na ndizi zako kadhaa tu mfukoni maana mialiko ni mingi.hapa naona watu wanakula bati tu bajeti kali teh teh.

2 comments: