Thursday 18 November 2010

WEEK END ILIYOPITA STOCKHOLM SODRA

haikuwa kawaida maana vumbi hakuwepo,lakini sio mbaya simba hula majani akikosa nyama,tukakuta kuna bendi inapiga rock and jazz tukajumuika.mara nikakutana na ndugu zangu hawa (kkwete na mkamba) ambao kipindi fulani tulipewa cheo kimoja na wenye mji walee(mi stokohomu long time).basi tukakumbukia enzi za kukipaka.

 mara tukavamiwa na jamaa kama watano hivi story nyiiingi,ah mi nikajitoa kwenye mdahalo nikawaachia jamaa zangu waliendeleze
huyu ndio vumbi wao,jamaa alikuwa analicharaza kweli na kuimba"bob marley style

pale nyuma kwenye chips alikuwa huyu mkaangaji




jamaa walikamilika kiukweli na walipiga muziki saafi sana tuliburudika vizuri na mwisho nikadandia guta langu kuelekea mlogolooo kulala.

No comments:

Post a Comment