Friday 19 November 2010

BEWARE OF "RAPE CASE" BLACK MAN

DULEE JOHNSON

Swedish pro footballer charged for rape

hii kesi ya huyu mshkaji kama tulivyoileta mwanzo anatuhumiwa kwa kosa la ubakaji!na evidence wanadai zina-proof kama kweli alifanya hivyo.inafurahisha kama sio kusikitisha ukisikia kisa chenyewe,jamaa kama unavyojua anacheza mpira supastaa kiaina,alichukua demu mitaa ya town club na baada ya hapo wakaelekea kwake solna,na huyo demu hakuwa pekeyake alikuwa na kijana mwingine.so walikuwa watatu,haya baada ya kwenda nyumbani kama kawaida najua masanga au ndumu lazima walipata,then inasemekana mshkaji alianza kubambia na maromance makali makali.yule mshkaji mwingine yupo pembeni anakula chabo tu.jamaa huyu baada ya kubambiabambia akaona hapa mchekea nakula mzigo.baada ya hapo mshkaji akaliendeleza tartiibu huku demu akigugumia kwa sauti ya kunong"ona (noo,nooo huku akisikilizia utamu).jamaa yangu akajua aah anapenda huyu akaendeleza kubenjuka.mama naye kakazana ney ney huku anakata unoz.baada ya shughuli kwisha hamad demu anaanza kulalamika kwamba jamaa kamwingilia bila ridhaa yake!kesi kesii kesiiii mpaka mahakamani.shahidi yule alikuwa anapiga chabo kakiri kwamba ni kweli alimuona jamaa akimwingilia yule mwanamke huku akikataa,haya sasa jumba bovu limemwangukia huyu ndugu yetu,timu aliyochezea iliyokuwa inampa ujiko na mihela na uraia(ÅBRO) imempiga chini.na usishangae akapigwa faini hivyo visenti alivyotengeneza kabla wakamlipa demu,na wakampa kifungo vilevile kisha akitoka wakam-post kwao vile vile.maana uraia kapewa juzi hapo april.sasa sijui ilikuwa mtego ama kweli kafanya hilo kosa anajua mwenyewe.

NENO LA LEO-
ANGALIA STAREHE YA DAKIKA CHACHE ISIJE IKAKUPOTEZEA    KUTIMIZA NDOTO YAKO YA MAISHA,TUKO MTEGONI HAPA,HAWA JAMAA HAWATUTAKI KABISA.


No comments:

Post a Comment