nakupenda sana mamaa
Friday, 1 June 2012
BOLINGO MPYA KALI ZILIZOTUFIKIA WIKI HII
werrason - test animateur & chanteur // zamba zamba ( du 23 mai 2012 )
Zambia: ex-leader's son Andrew Banda arrested
Andrew Banda, in the red shirt, has been released on bail
Andrew
Banda, a son of Zambia's ex-President Rupiah Banda and the deputy high
commissioner to India, has been arrested in Lusaka for corruption.
Mr Banda is accused of taking a bribe from an Italian road construction firm of over $30,000 (£20,000).He denies corruption, saying the payment was made by Fratelli Locci as a commission to his logistics company.
His father stood down as president last year after losing presidential elections to Michael Sata in September.
President Sata has launched a anti-corruption drive since coming to power that has seen a number of former ministers investigated and some arrested.
The BBC's Mutuna Chanda in the capital, Lusaka, says Mr Sata's opponents feel he is targeting the former leader and his associates as a way of settling political scores.
'Proceeds of crime' Police said the businessman and diplomat was also arrested for failing to account for $70,000 in his personal bank account.
"Andrew Banda has been formally arrested and charged for corrupt practices and being in possession of property suspected to be proceeds of crime," Namukolo Kasumpa, a spokeswoman for Zambia's police criminal investigations department, told reporters.
Police say he took a 2% cut from all Fratelli Locci's road-building contracts, but Mr Banda said the money was paid for the services he provided in helping the company register in the country.
Andrew Banda is the eldest son of Rupiah Banda.
His younger brother, Henry, is also wanted by police on a different set of corruption allegations and an international arrest warrant has been issued after he failed to come forward for questioning.
Reacting to his son's arrest, Rupiah Banda said he had not been in touch with him for "a long time now so I am not really following what is happening," the AFP news agency reports.
"But the courts have many people's sons and daughters, everybody goes before the police, so let's not make this an issue," he told reporters.
Andrew Banda has been released on bail, his lawyer Sakwiba Sikota said
BBC
JK AKUBALI HOJA YA LOWASSA
AKIRI TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUWA BOMU, ASEMA LISIPOTATULIWA LITALETA MACHAFUKO BARANI AFRIKA
Rais
jakaya Kikwete akizungumza jambo na Rais wa Ivory Coast,Allasane
Wattara kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA)baada ya kuhudhuria
mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika(AfDB)mjini Arusha.picha
na Filbert RweyemamuPeter Saramba na Mussa Juma, Arusha
RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni tatizo kubwa na kwamba lisipotafutiwa ufumbuzi wa kudumu linaweza kusababisha vurugu, machafuko na uasi wa umma, hata kwa nchi zinaoongozwa kwa misingi ya kidemokrasia, kama inavyotokea sasa katika nchi za Kiarabu.
Onyo hilo la Rais Kikwete linafanana na lile ambalo limekuwa likitolewa mara kwa mara na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, lakini, linapingana na kauli ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka ambaye Machi 21 mwaka huu, alimjibu Lowassa akisema, "Kitendo cha wanasiasa kuendelea kusema tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka, siyo kweli."
Jana akifungua mkutano wa mwaka wa Magavana wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Jijini Arusha, Rais Kikwete alisema moja ya sababu kuu ya machafuko yanayoshuhudiwa sasa kwenye ukanda wa nchi za Kiarabu, ni matokeo ya ukosefu wa ajira kwa vijana na watu kukata tamaa.
“Siyo kweli kwamba machafuko yanayoshuhudiwa kwenye nchi za Kiarabu ni matokeo ya Serikali za nchi hizo kukaa madarakani kwa kipindi kirefu kama wengi wanavyodhani. Ukweli ni kwamba hayo ni matokeo ya ukosefu wa ajira na watu kukata tamaa ya maisha,” alisema Rais Kikwete.
Alisema bila kutafutia ufumbuzi wa haraka, tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana ambao wengi hukimbilia mijini kusaka hali bora ya maisha, hata nchi zenye kuongozwa kidemokrasia, zinaweza kukumbwa na machafuko na uasi wa umma.
Rais alitumia fursa hiyo kuishukuru Denmark kwa kutoa fedha za kusaidia Mfuko wa Ajira kwa Vijana barani Afika, akisema ni moja ya mapendekezo kadhaa yaliyotolewa na kamati maalum ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kiuchumi barani Afrika ambayo yeye na Rais wa AfDB, Dk Donald Kaberuka, walikuwa wajumbe.
Mapema Rais wa Ivory Coast, Allasane Ouattara aliyehudhuria mkutano huo aliunga mkono kauli hiyo ya Rais Kikwete kwa kusisitiza kuwa vijana lazima wawekewe mazingira mazuri na kuwezeshwa kukabiliana na kumudu changamoto za kiuchumi, kitamaduni na kiteknolojia wanazokabiliana nazo.
“Lazima wasaidiwe na wawekewe mazingira bora ya kupata fursa za ajira na kujiajiri, bila kufanya hivyo ni kukaribisha matatizo na machafuko yanayotokana na ongezeko la mahitaji na kukata tamaa katika miji yetu inayokua kila kukicha kutokana na ongezeko la vijana wanaosaka ajira na maisha bora,” alisema Rais Ouattara.
Rais Ouattara aliyetumia muda mwingi kumshukuru Rais Kikwete na viongozi wenzake wa Kiafrika kwa kusaidia upatikanaji wa amani nchini mwake alitaja changamoto kadhaa zinazokabili Bara la Afrika, kuwa ni mabadiliko ya tabia nchi, ukame, uhaba wa chakula na ukosefu wa amani kwa baadhi ya sehemu.
Mambo mtambuka
Ili kukabiliana na tatizo hilo, Rais Kikwete alitaja mambo kadhaa yanayopaswa kufanyika ikiwa ni pamoja na kukuza na kuboresha sekta ya kilimo kwa kuongeza uwekezaji na kuacha kutegemea kilimo cha mvua badala yake itumie fursa ya vyanzo vingi vya maji.
“Bara la Afrika linaweza kuzalisha mazao ya kilimo na kujitosheleza kwa chakula na kubakisha ziada ya kuuza nje hadi kuwa ghala la chakula duniani iwapo uwekezaji katika sekta ya kilimo utapewa kipaumbele,” alisema Rais Kikwete.
Kuhusu miundombinu, Rais Kikwete aliipa changamoto AfDB kuongeza juhudi katika ufadhili na udhamini wa miradi ya maendeleo barani Afrika, ikiwemo miradi ya miundombinu aliyosema ni moja ya changamoto zinazokwaza maendeleo ya Afrika.
Alisema pamoja na kukwaza mawasiliano kwa njia ya barabara, reli na anga, uduni wa miuondombinu pia huchangia bei kubwa ya bidhaa na huduma katika nchi za Kiafrika kutokana na gharama kubwa ya usafirishaji.
Rais Kikwete alisema uwepo wa miundombinu ya uhakika siyo tu itawahakikishia wakulima vijijini soko na bei ya uhakika kwa mazao na bidhaa zao, lakini pia itapunguza kasi ya watu kuhamia mijini inayozikabili miji mingi barani Afrika.
Akizungumzia uwekezaji katika nyanja ya uchumi mdogo, Rais alisema uwekezaji huo ndiyo njia pekee ya kuboresha na kuinua uchumi wa watu wa kawaida huku ikitumia vema soko lake la ndani kwa kutumia bidhaa zinazopatika barani humo badala ya kuendelea kutumia fedha nyingi kuagiza bidhaa kutoka nje, hata zile zinazopatikana nchi jirani.
Rais Kikwete alisema ili kupiga hatua kimaendeleo, Afrika kupitia AfDB na wahisani wengine wa ndani na nje lazima iwekeze katika ujenzi na uboreshaji wa miuondombinu ambayo ni nyenzo muhimu kimaendeleo.
Kuhusu sekta ya utali, alisema licha ya Afrika kujaliwa vivutio vingi vya utalii, sekta hiyo bado haichangii kikamilifu uchumi wa bara hilo kutokana na kukabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo miundombinu mibovu, ukosefu wa safari za ndege za kimataifa na bei kubwa ya safari ndege chache za kimataifa zinazofanya safari zake barani Afrika.
Lowassa na ajira
Novemba 15, mwaka jana akiwa katika harambee ya ujenzi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Makasa, Parokia ya Nyakato, Mwanza, Lowassa alionya kuhusu tatizo hilo na kulitaka Kanisa lisaidie kujenga vyuo vya ufundi.
Alitoa takwimu akisema utafiti wa mwaka 2006, ambao hata hivyo, hakusema ulifanywa na taasisi gani, ulionyesha kuwa tatizo hilo kwa sasa limekuwa na kufikia asilimia 15 huku likigusa zaidi vijana wenye umri wa miaka kati ya 15 hadi 24 ambao ndiyo nguvukazi ya taifa.
Novemba 29, mwaka huo wa jana akiwa harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Usharika wa Amani Sabasaba, Singida, Lowassa alionya tena kuhusu tatizo hilo la ajira.
Mwezi Machi mwaka huu akiwa katika sherehe za uzinduzi wa Jimbo jipya la Kanisa Katoliki Ifakara alirejea kisema: “Nawaomba maaskofu katika miradi yenu mlipe kipaumbele suala la tatizo la ajira kwa vijana.... hili kama tulivyosema ni bomu linalosubiri kulipuka...”
Hata hivyo, kauli hiyo mpya ya Lowassa, ilijibiwa na Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Gaudensia Kabaka Machi 21 akisema, "Siyo kweli kudai Serikali hayaijafanya kitu, wanakuwa hawaitendei haki na kuongeza kwamba, utafiti uliofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na Taasisi ya Takwimu ya Taifa (NBS), unaonyesha kuwa tatizo hilo limepungua kwa asilimia 1.2.
chanzo:mwananchi
NSAJIGWA ATEMWA RASMI YANGA
KLABU ya Yanga imewatupia
virago beki wake wa kulia na nahodha, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ na Abuu Ubwa,
imefahamika.
Habari za kuaminika
kutoka ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake makutano ya mitaa ya Twiga na
Jangwani, Kariakoo, jijini Dar es
Salaam zinasema, nyota hao wameachwa kutokana na
kushuka viwango.
Chanzo cha uhakika
kimedokeza kuwa kushuka kwao kiwango kuliwafanya washindwe kutoa mchango
uliotarajiwa kutoka kwao katika msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Tanzania
Bara iliyofikia tamati Mei 6.
Yanga chini ya Kocha wake
Mserbia, Kostadin Papic ilimaliza ligi hiyo kwa kushindwa kutetea ubingwa wake,
ikimaliza nafasi ya tatu nyuma ya Simba na Azam FC.
Chanzo hicho kimedokeza
kuwa, kuachwa kwa nyota hao, ni sehemu ya mkakati wa kukisuka upya kikosi cha
timu hiyo kuelekea vita ya kutetea ubingwa wa Kombe la Kagame na msimu mpya wa
Ligi Kuu.
Mbali ya kiwango, pia
kiongozi huyo amedokeza kuwa, walikerwa na utovu wa nidhamu wa ndani na nje ya
uwanja wa Nsajigwa aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Tanzania,
Taifa Stars.
“Tumedhamiria kuwa na
kikosi bora, sio bora kikosi kwenye ligi kuu ijayo na michuano mingine, hivyo
hatuwezi kuwa na wachezaji walioshuka viwango,pia nidhamu mbovu,”
alisema kiongozi huyo.
Alidokeza kuwa, kwa sasa
wanaendelea na mchakato wa kusaka nyota bora ambao wataziba nafasi za wale
watakaoachwa kwa lengo la kujenga kikosi bora cha ushindani.
Mbali ya Nsajigwa na
Ubwa, nyota wengine walio kwenye hatari ya kutemwa,ni Shamte Ally, Bakari
Mbegu na Kiggi Makasy kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo kushuka viwango.
Kuachwa kwa Nsajigwa
kunakuja huku kukiwa na habari za Yanga kuanza kusaka saini za nyota kadhaa
wakiwemo Uhuru Seleman, Juma Jabu na Juma Nyoso kwa lengo la kuimarisha kikosi
cha msimu ujao.
Shadrack, ni kati ya
mabeki shupavu nchini akijaaliwa uwezo wa pumzi kiasi cha kupanda kwenda
kusaidia mashambulizi na kushuka kuzuia, akifananishwa na lori aina ya Fuso
ambalo hutumika kubeba mizigo.
Kabla ya kutua Yanga
mwaka 2006 akitokea timu ya Moro United, Nsajigwa aliwahi kuichezea Prisons
ya Mbeya kwa mafanikio kama ilivyokuwa kwa rafiki yake, kipa Ivo
Mapunda aliyehama naye Moro Utd hadi Yanga.
Katika mechi ya mwisho ya
kufunga Ligi Kuu dhidi ya Simba iliyopigwa Mei 6 kwenye Uwanja wa Taifa,
jijini Dar es Salaam, Nsajigwa alionekana kupwaya, akisababisha penalti tatu
kutokana na kucheza rafu dhidi ya Emmanuel Okwi.
KASHFA WIMBI LA MASTAA BONGO KUNUNUA MBWA
Na Shakoor JongoKITENDO cha hivi karibuni cha baadhi ya mastaa Bongo, Wema Sepetu, Irene Uwoya,Jackline Patrick na Aunt Ezekiel kununua mbwa kimeibua jambo kufuatia madai kuwa, wengine huwatumia wanyama hao kimahaba.
Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, baadhi ya watu walisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake bila aibu kuwatumia mbwa katika mambo ya kimahaba kana kwamba wanaume hawapo.
Mwandishi wa Marekani atoboa
Akielezea tabia ya baadhi ya wanawake kutumia wanyama hao katika kujiridhisha ‘kimalovedove’, mwandishi mmoja wa habari za kijamii nchini Marekani, Josephine Cris aliandika mtandaoni kuwa, mchezo huo uko sehemu nyingi ulimwenguni licha ya kwamba una madhara.
“Ukweli ni kwamba baadhi ya wanawake hutumia mbwa katika kufanya nao mapenzi, hufanya hivyo kwa njia wanazozifahamu wenyewe.
“Wengi hufanya hivyo kwa siri kwani wanajua jamii itawashangaa kama watakiri. Ni vitendo vinavyonikera sana hasa ukichukulia kwamba madhara ya kufanya mapenzi na mbwa yapo wazi.
“Hebu jiulize, kipi kinachoweza kukuvutia kwa mbwa hadi akupe mshawasha wa kufanya naye mapenzi, kwanza mnyama siku zote ni mchafu na anaweza kukuambukiza maradhi, sasa sijui kwa nini watu wanawatumia kimahaba,” anaeleza Josephine.
Kwani huwa inakuwaje?
Inaelezwa kuwa, baadhi ya wanawake hasa wale wenye tabia ya kulala au kukaa na mbwa wao vitandani, wanapowashikashika mwilini mwao hujisifikia raha na wengine hufikia hatua ya kumaliza mchezo kabisa.
Bongo mchezo huo upo?
Licha ya vyombo vya habari kuripoti mara kwa mara juu ya wanawake wa Mamtoni kufanya mchezo huo, Bongo haijawahi kuripotiwa licha ya kuwepo kwa madai kuwa wapo wanaofanya hivyo.
Akitoa ushuhuda juu ya hilo, rafiki wa staa mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema: “Nyie waoneni tu hao mastaa wanaonunua mbwa na wengine kufikia hatua ya kuingia nao vyumbani, kuna siri kubwa nyuma yake.
“N’shawahi kumshuhudia….(anataja jina la msanii mmoja wa filamu) akicheza kimahaba na mbwa wake.”
Mastaa wenyewe wanasemaje?
Wema: Kwanza mimi mbwa wangu (Fiona) ni wa kike na namchukulia kama mwanangu wa kwanza kwa hiyo siwezi kufanya naye mapenzi kama hao wengine wenye mchezo huo mchafu.
Uwoya: Mbwa wangu mimi (Dallas) anakaa Mbezi mimi nakaa Sinza, kwa hiyo siwezi kufanya mchezo kama huo, mimi nina mapenzi tu na mbwa lakini upuuzi kama huo siwezi kufanya.
Aunt: Jamani mimi nina mbwa wa kike na wa kiume, nawachukulia kama midoli ambayo inanichangamsha pale ninapokuwa mpweke.
Jack Patrick hakuweza kupatikana kuzungumzia hilo.chanzo:
www.globalpublishers.info
FROM ISAACKIN
nilikua nawazia kuiongelea hii topic,sasa kama wanajiridhisha kimapenzi na hao mbwa kuna nguli mwingine wa kiume wa movie za kibongo nae ana kambwa tena amekaita jina la mwigizaji mwenzake wa kike,sijui nae anakatumia vivyo ndivyo ama ndio style mupya!
Subscribe to:
Posts (Atom)
