Saturday, 8 December 2012

HAPPY BIRTHDAY BRODA PETER JACKSON


BROTHER PETER JACKSON LEO AMEFIKISHA MIAKA YAKE KADHAA YA KUZALIWA,BLOG KAMA KAWAIDA ISAACKIN BLOG INAMTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA TELE.
                            BIRTHDAY IMEANZA NA "NGUMU KUMEZA" NAMNA HII.

Thursday, 6 December 2012

dekula band live 07/08/12/2012 due to public demand



Akadevu-Music present's;
Bobo Sukari & Yaya Sella
Dekula Band"Ngoma Ya Kilo"
Place:Lilla Wien"Little Nairobi"
Date:07/08/12/2012
Time:21.00-01.00
...
Addr:Swedenborgsgatan 20
Pendel:Södra Station

Delays persist as snow-bound Swedes dig out

Delays persist as snow-bound Swedes dig out
Stockholmers fighting the blizzard Stockholmers fighting the blizzard

 Can you see the two cars in the foreground?


 Central Stockholm

 Blizzard hits Gamla Stan
Published: 
 More Snow at the Karolinska Institutet

 Not everyone was disappointed with the snow
6 Dec 12 0Dog in the snow
 Snow chairs in Södermalm

Lingering snow continued to cause problems across Sweden on Thursday, the day after a fierce winter storm brought the capital and other parts of the country to a virtual standstill.
 Class 1 warnings remained in effect for large parts of eastern Sweden on Thursday, with up to 30 centimetres of snow expected in some areas, according to Swedish meteorological agency SMHI

Stockholm's Arlanda airport warned of continued delays Thursday morning, urging travellers to contact their airlines for the latest information.

On Wednesday, heavy snow temporarily shut down the airport, with an estimated 60,000 passengers affected by the storm.

"We have some minor delays and a few cancelled flights this morning, but those are the results of problems from yesterday," Klas Nilsson, spokesman for airport operator Swedavia, told the TT news agency.

"We expect things to return to normal by midday."

Dangerous road conditions continued to plague many parts of the Stockholm region in the wake of Wednesday's heavy snows and strong winds, according to the Swedish Transport Administration (Trafikverket).

As the storm moves north, conditions on roads in northeastern Sweden are expected to deteriorate throughout the day on Thursday.

"If you have to go out, be sure to take it easy, allow plenty of distance, and don't get stressed," spokeswoman Beisi Sundin told TT.

Slick and snow-covered roads contributed to a number of accidents overnight, leaving many vehicles in the ditch, but no serious injuries were reported.

On highway 44 between Lidköping and Källby, a bus with 20 passengers on board skidded off the road on Thursday morning, landing on its side.

Police said it was too early to know the extent of possible injuries, but early indications were that no one was seriously hurt.

Meanwhile, Sweden's passenger rail system continued to be plagued by snow-covered tracks, as well as several malfunctioning switches, with rail operator SJ expected to cancel several trains throughout the day on Thursday.

"They especially affect routes between Gothenburg and Stockholm. Those who are planning to travel should get more information ahead of time," said Sundin.

In Stockholm, public transit systems have recovered for the most part following a day which saw the bus service brought to a halt in the city centre as well as major disruptions to commuter rail service.

"Trains are operating close to normal this morning," Fredrik Cavalli-Björkman, spokesman for transit operator SL, told TT.

While Stockholm's buses are up and running again, several routes continue to experience delays.

However, roads have yet to be plowed in many outlying regions of the Swedish capital such the archipelago, Nynäshamn in the south, and Norrtälje in the north, resulting in continued problems for commuters.

"We've prioritized primary rail and bus routes, and we're tracking snow removal throughout the day," said Cavalli-Björkman.

"People are going to have to have a little patience, but we are optimistic."

TT/The Local/dl

Wednesday, 5 December 2012

Taarifa Kwa Umma: Usafiri Wa Tren Jijini Dar es Salaam



Baada ya baadhi ya vyombo vya habari kuandika tarehe 3 Desemba 2012 kauli yangu kuwa usafiri wa treni katika jiji la Dar es salaam kwamba kwa sasa unaingiza hasara ya wastani wa shilingi milioni 10 kwa siku tano, wanahabari mbalimbali kupitia simu na baadhi ya wananchi kupitia mitandao ya kijamii wametaka nitoe ufafanuzi kuhusu madai hayo.
Ieleweke kwamba nilitoa kauli hiyo wakati nikijibu swali la mwananchi kwenye mkutano wa hadhara tarehe 1 Desemba 2012 katika mtaa wa Saranga Jimboni Ubungo ambaye alihoji kuhusu ufanisi wa usafiri wa treni jijini Dar es salaam na hatua nyingine ambazo Serikali inapaswa kuchukua kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es salaam; hivyo katika hotuba yangu nilizungumza masuala mengi na kueleza mapendekezo niliyotoa kwa nyakati mbalimbali ya kuboresha mfumo mzima wa usafiri.
Nilieleza kwamba naunga mkono usafiri wa treni kuwepo jijini Dar es salaam na kwamba katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ilikuwa ni moja ya masuala niliyoahidi wananchi kwamba nitayafuatilia, na wakati huo wa kampeni wapo walionipinga ikiwemo kwa kuzungumza katika mikutano yao ya kampeni na hata katika radio.
Kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi katika kuishauri, kuisimamia serikali na kutunga sheria hivyo kwa msingi huo mara baada ya kuchaguliwa nilihoji bungeni kutaka hatua za haraka za kuanzishwa kwa usafiri huo na hatimaye Wizara ya Uchukuzi (wakati huo ikiwa chini ya Waziri Omar Nundu) mwaka 2011 ikajibu kuwa itatumia sehemu ya fedha kwenye bajeti kuanza matengenezo kwa ajili ya usafiri huo kuanza.
Kwa hiyo nilisisitiza kwenye mkutano wa hadhara usafiri huu kuanza mwaka huu 2012 ni matokeo ya kazi ambayo ilishaanza mwaka 2011, na nikawaeleza wananchi kwamba natambua mchango wa Waziri wa sasa Dk. Harrison Mwakyembe katika kuongeza msukumo; hata hivyo niliwaeleza wananchi kwamba kama mbunge bado siridhiki na maandalizi yaliyofanyika na kwamba iwapo mapendekezo yangezingatiwa kwa wakati usafiri huo ungekuwa na mfumo na utaratibu bora kuliko ilivyo sasa.
Hivyo, nikaeleza kwamba nitaendelea kuwawakilisha wananchi katika kuishauri, kuisimamia serikali na kutunga sheria ili kasoro zilizopo za miundombinu na mfumo wa uendeshaji ziweze kuondolewa na nikatoa mfano kwamba usafiri huo kwa sasa unaingiza hasara ya wastani wa shilingi milioni 10 kwa siku tano hali ambayo inaweza kurekebishwa ili kuhakikisha kwamba usafiri huo unakuwa endelevu badala ya kukwama baadaye kutoka na mzigo wa hasara.
Nitoe ufafanuzi wa nyongeza kwamba natambua kuwa uchambuzi wa gharama (wakati mwingine ikiwa ni hasara) na faida (cost benefit analysis) hutumia vigezo tofauti kisiasa, kiuchumi na kijamii na mtazamo wangu wa muda mrefu ambao unaweza kuthibitishwa kwenye michango yangu bungeni na kauli zangu nje ya bunge, usafiri wa umma (mass transport) unapaswa kuwa huduma zaidi ya biashara hivyo suala la kupata hasara ya kifedha wakati mwingine linaweza lisiwe na uzito likilinganishwa na faida ya kupunguza kero kwa wananchi.
Pia, natambua kwamba uwekezaji unaweza ukaanza kwa hasara wakati huduma au biashara haijafikia kiwango cha kutosha cha watumiaji, wateja au uzalishaji wa kuweza kurudisha gharama na pengine kupata faida (loss before breakeven point). Hata hivyo, kwa hasara hii ya wastani wa milioni 10 kila baada ya siku tano, hali ni tofauti kwa kuwa chanzo chake sio vigezo hivyo hapo juu vya hasara isiyoepukika (ambayo inaweza kufidiwa kwa serikali kutoa ruzuku kwa sababu za kijamii) wala sio kwa sababu ya kuwa na idadi ndogo ya watumiaji; bali ni kutokana na kutozingatiwa kwa baadhi ya masuala ya msingi katika maandalizi kuanzia kwenye ukarabati wa vichwa cha treni, mabehewa na miundombinu ya reli hali ambayo ni wajibu wa mbunge kuiweka wazi na kutaka serikali irekebishe ili huduma iweze kudumu.
Ikumbukwe kwamba kwamba njia ya treni ya kutoka Ubungo mpaka Stesheni ilikuwa inatumika miaka ya zamani na kampuni ya saruji, kampuni ya makasha ya chuma na kampuni zingine chache ikiwa ni njia binafsi (siding) na toka wakati huo iliacha kutumiwa. Nilieleza tangu mwaka 2010 na 2011 kwamba inapaswa kwanza kuimarishwa ili treni iweze kwenda mwendo kasi zaidi na kuongeza idadi ya safari na hivyo kubeba abiria wengi zaidi na kuondoa hasara kutokana na ongezeko la mapato (economies of scale).  Hatua hii ingeenda sambamba na kuweka reli zenye uzito mkubwa zaidi ambazo zingeweza kubeba vichwa vya treni vyenye nguvu zaidi na mabehewa ya ziada ambayo ni maalum kwa usafiri wa mjini,  haya ni masuala ambayo utekelezaji wake ungeanza kwa wakati kama nilivyopendekeza usafiri wa treni ungezinduliwa mapema bila ya kuwa na hasara yoyote. Hali hii inaweza kurekebishwa kwa Wizara ya Uchukuzi kuingilia kati kwa kushirikiana na TRL na TAZARA na kufanya uwekezaji unaostahili.
Badala ya kukwepa mjadala huu kuhusu hasara inayopatikana, ni muhimu mjadala ukaendelea ili wananchi wakafahamu ukweli na hatimaye Serikali ikawajibika kuingiza katika bajeti kuagiza treni maalum za usafiri mjini (Diesel Multiple Unit-DMU au Gas Unit-GU) ziweze kutoa huduma kwa ufanisi zaidi na kwamba gharama ndogo; iwapo Serikali haitaufanyia kazi ushauri huu ieleweke kwamba italazimika kutoa ruzuku kwa TRL na TAZARA ili kufidia hasara.
Aidha, changamoto zinazoendelea kuhusu usafiri wa kwenda na kurudi toka vituo vya treni zinadhihirisha haja ya mapendekezo niliyotoa mwaka 2010 na 2011 ya Serikali kuunganisha mifumo ya usafiri wa umma (mass transit) ya reli, mabasi ya kawaida na mabasi ya haraka ili kuweza kuingiliana na kupunguza gharama za usafiri wa umma.

Ili wazo hilo liweze kuratibiwa vizuri,  ni muhimu kuwa na chombo kimoja cha usafiri Dar es salaam mathalani Mamlaka ya Usafiri Dar e salaam (MUDA) badala ya utaratibu wa sasa ambapo mabasi ya haraka yako chini ya DART, mabasi ya kawaida yako chini ya UDA (ambayo mpaka sasa iko katika utata na hali tete) huku treni ziko chini ya TAZARA na TRL/RAHCO na wazo la treni za chini kwa chini nalo likija litaanzishiwa chombo chake; hali ambayo inaongeza gharama za uendeshaji na matatizo ya mifumo kutokuingiliana ipasavyo kuanzia wakati wa uwekezaji na uwekaji wa miundombinu.
Bado, hatua nyingi za ziada zinahitajika zenye kugusa Wizara zaidi ya moja, mathalani Wizara ya Ujenzi na Halmashauri za Manispaa zina wajibu wa barabara za pembezoni za kupunguza msongamano,  ndio maana hata baada ya kuanza kwa usafiri wa reli, matatizo ya foleni yanaendelea tofauti na kauli zilizokuwa zikitolewa awali. Hivyo, kwa nafasi yangu ya mwakilishi wa wananchi katika kuishauri na kuisimamia serikali na kutunga sheria nitaendelea kutimiza wajibu huo ndani na nje ya Bunge kwa manufaa ya wananchi wa Jimbo la Ubungo na Taifa kwa ujumla.
Wenu katika maendeleo ya nchi na wananchi,
John Mnyika (Mb)
05/12/2012

BALAA LA SNOW LEO STOCKHOLM SEHEMU MBALIMBALI







nikianza na masai Lomu nadhani ye alishapagawa,hapo sielewi anaenda ku ski-au ndo ashapagawa anataka kurudi hm.


from uppsala Humphrey anawakilisha na hii.




 

Carrine dada yetu jirani naye ali
pata hii akitoka.



yah hii ilitoka bongo jamaaaa walikua wanapiga kitonge kama kawa hamna ubichi wala barafu labda ukanunue kule wanaita asklimu.

 

hii toka kwa Dj Jackson




yaah no need of freezer or fridge bia zina pata baridi livelive.my catch

 ngoma ikiteremka mjini
'
mecedess benz inapogeuka cartoon


  mitaa ya ahliens mpaka sergel torg hali ilikua hivi


Grace aliripoti akiwa indoor.




mmh pumzika na mikasa hii travel chanel wakiwa rom Achilles Bay Beach. 
 

hizi zilikua saalamu za Lily Nyakisinda huko alikokuwa

 
 mmh hii ni mwenyewe nilipoanzisha kuzichapa,maana sie tusiopiga sigarete ikiwa baridi km hii naww unaongezea % ya kilaji.leo nikatafuna hizo 3 kisha zikafuata 5.2 km 4 hivi ntalala unono.kuanzia kesho full bussy
hapa ni dj Jackson mtaani
 A Boeing 737-600 Scandinavian Airlines (SAS) aircraft is seen at terminal five of Arland airport, outside Stockholm December 5, 2012. REUTERS/Johan Nilsson/Scanpix
yaah ndege zenyewe zilikua zinatafuta mahali pa kujificha.

Tuesday, 4 December 2012

Sweden braces for massive snow onslaught

Sweden braces for massive snow onslaught

Stockholm faces up to 30 centimetres of snow in the next 24 hours, say forecasters who have issued a class 2 storm warning for much of central and southern Sweden, especially along the Baltic coast. 
 We’ve warned Stockholm that it faces 20 to 30 centimetres of snow by Wednesday afternoon,” meteorologist Linnea Rehn at the Swedish Meteorological and Hydrological Institute (SMHI) told the TT news agency.

The snowfall will continue until Wednesday evening, she said.

According to SMHI's 3-class scale, a class 2 warning means there is a "danger to the public, widespread material damage, and significant disruptions to important civic operations".

Temperatures are expected to stay below freezing point across the country, with northern Sweden facing minus 15 degrees Celcius.

The weather has already caused traffic delays in southern Sweden.

Blekinge, Kalmar and Jönköping Counties are the most severely affected, Sweden's Transport Authority (Trafikverket) warned on its website.

“We’re seeing a lot of snow and on the roads, it’s tough,” Reine Johansson, police duty officer in Kronoberg and Kalmar Counties, told TT.

Trucks had to pull over because the roads were too slippery along highway 40 west of Eksjö on Tuesday afternoon.

A tank truck accident between Kalmar and Mönsterås put a complete stop to traffic on the the E22 motorway.

Two bus passengers received cuts to their faces when a truck skidded into the bus they were travelling on and shattered several of its side windows on Tuesday morning in Uppvidinge municipality.

Despite the travails, the Transport Authority say traffic is going more smoothly than on Monday.

“I think people develop a false sense of security when it’s no longer raining but then the weather turns,” spokesperson Peter Behrman said.

Looking at previous winters, temperatures could still swing dramatically back and forth during December, reaching plus 5 at times but sinking far below zero at others.

“A lot of different kinds of weather is perfectly normal for December,” said meteorologist Anna Hagenblad. 
TL