Thursday 29 April 2010

FALLY IPUPA NEW LIVE GRANDE HOTEL KINSHASA

kuna mshkaji kanitumia hii video toka zaire,perfomance imefanyika wiki mbili ziliozopita muziki umetulia,watazamaji,na kila kitu kiko sawa,rapper chriss anafanya rap iendane na bolingo haha,kiafrika zaidi,kwanini tusiweze,waafrika tunaweza kilakitu bwana kivyetu lakini.hivyo hivyo iko siku bara la afrika litakua kama europe lakini lazima mchina asiwepo.

No comments:

Post a Comment