Friday, 7 February 2014

DEDICATION TO MY PAPA-OLDIES LIVE BY FERRE GOLAI DEDICATE THIS LIVE MUSIC TO MY FATHER WHO DIED 26 YEARS AGO IN THE NIGHT OF THIS DAY 7th-8 FEB 1988 BY ACCIDENT,IM SURE IF YOU COULD BE ALIVE YOU COULD LIKE THIS MUSIC.
Yes,issue ni kwamba baba yangu alikuwa ni mpenzi wa bolingo vibaya sana,ndio maana mkiona na mimi nakuwa hivyo nafuata njia tu.vijana nao hawako nyuma wakisikia bolingo wanaingia uwanjani.
kuna watu wasioelewa muziki wala asili yake wanalaumu kwamba we unapenda sana wakongo!jibu ni no.napenda muziki wowote ulioimbwa na wabantu,sisi wote tunaitwa wabantu,makabila na vitongoji tulivyotoka havina maana,nishawahi kupenda taarab na mimi si mpemba,nishapenda ngoma za kimakonde toka mauritius na mimi si mmakonde.hata wanaopenda reggae sio kwamba wametoka Jamaica.we mwenyewe unapenda muziki wa kina eminem au Elton John au mpira Man u sijui Liverpool kwani we muingereza?
kila mtu na hobbie yake.

hivyo shushia na bia upumzike

No comments:

Post a Comment