Saturday, 7 March 2015

Isaackin blog inarudi kivingine

Baada ya blog kutokuwa updated kwa takribani mwaka sasa tunarudi hewani kivingine.Hatukuwa hewani kipindi chote hicho kutokana na masomo na majukumu mbalimbali.
Kwasasa nimekabidhiwa mikoba,hivyo tunarudi tena kwa habari mbalimbali.kwa sasa tutabase zaidi kibiashara vyakula na recipe zake,matukio ya burudani na of-course kuuza sura kama kawa japo siku hizi hazina bei.
Kaa tayari mdau kwa mambo mapya mwaka huu 2015.
Isaackin Blog Always.

No comments:

Post a Comment