hapa nikiwa na mdau alikibwa vidole kama kawa.
Thursday, 17 June 2010
NIGHT&OUTSTOCKHOLM SODRA WITH VUMBI DEKULA BAND
hapa nikiwa na mdau alikibwa vidole kama kawa.
NGOMA LUMBESA HADI MAMTONI DUH
MAMBO YA KUPAKAZA NA MIPAKAZO MINGI
MNAWAKUMBUKA HAWA WATAALAM WA MUZIKI?
mtaaluma loketo nae alikua mbaya enzi zake,akiingia na kitana basi na zile style zake anazuga kama anaanguka halafu anatoa kitana anachana nywele si mchezo,mambo ya tulemonde loketo e e loketooo,tulemonde washiwaa e e washiwa ilikuwa raha mpaka kisogoni dah.
yondo sister enzi hizo mbuta mutu mwana mama eeh mamaaanalingakayo mwana mama eeh mama,likitandikwa solo hapo utakimbia,kipindi hiyo nakaa temeke tazara jirani na njaro uswazi kulikua na baa ya tap tap basi ni mbuta mutu mpaka kichwa kinauma.
kanda bongo man,jamaa kwa sasa anajipigia boksi lake manchester UK,magitaa kayatupilia mbali.
Thursday, 10 June 2010
MISS INDIAN OCEAN NI LEO WADAU
yale mashindano ya miss dar indian ocean sasa yamefikia muda wake,kinyanganyiro hicho kitafanyika leo katika ukumbi wa double tree hilton hotel,kiingilio kitakuwa ni tshs 30,000-tu.na mshindi wa kwanza atajipatia tshs 1.2 mil,wa pili tsh 800000 na watatu ataondoka na tshs 500000,haya wadau mambo ya burudani ndio hayo mjumuike.
NEW SONG:MAMA NTILIEEE,UNIJAZIEEE
songi limetulia kinoma daah,ray c naona bado yupoyupo,jamaa wamejitahidi sana at least tumeona kitu tofauti sio kila mbongofleva ni kubana pua tu.
Subscribe to:
Posts (Atom)