Sunday, 28 July 2013

BARUA TOKA KWA WAFUNGWA WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG-KONG2 comments:

  1. ungetaja tu hayo majina uchaguzi mwakani ndugu yangu tunazidi kuua watoto na vijana wetu

    ReplyDelete
  2. Kwani huyo Iddi Azani si kigogo wa serikali mbona umemtaja hao wengine umeshindwa nini au yupo aliyejitolea kuirudisha familia yako mjini na kuihudumia? Huoni kama ndugu zako Watanzania wanazidi kuangamia kwa KUNYONGWA, KUFUNGWA na wengine KUENDELEA KUATHIRIKA KWA KUTUMIA HAYO MADAWA YA KULEVYA? Na je huoni kama unatutia wasiwasi pengine umetumwa na watu uwachafue hao ulowataja?

    Kwa mtindo huu Watanzania hatutaendelea kamwe, unapoamua kujitoa kwa faida ya TAIFA lako basi jitoe kweli sababu kama kifo ndo tumeumbiwa.

    ReplyDelete