Friday 17 January 2014

VUMBI DEKULA NA KUNDI ZIMA LA DEKULA BAND WAKIUNGURUMISHA


wakongwe wa maquise du zaire,Vumbi na Boboo sukari wakiwa kazini pale sodra stockholm,ukitaka kusikiliza zembwela piga mbizi,kiongo,makumbele na nyingine kibao usikose pale
bila kusahau ukumbi mpya unafunguliwa karibuni na watakuwepo mpaka kuche tega sikio.



hivi vionjo tu yanayotokea pale sebuleni



Bass guitar utamkuta huyu jamaa na analitwanga inavyotakiwa kazi kazi hamna kulemba,na pale nyuma kuna keyboard aaah basi ni raha tupu


kuwa inauma hiyo msiseme sijawaambia


akakwepa kamera baadaye nipige picha nikamwambia tukio hilo lishapita


Nyomi si la kawaida na siku hizi pale sebuleni sura za zamani kuchanganya abari zimekuwa pensionair kuna sura mpya tupu





siku hizi mtu mzima nashughulika na glass zaidi mambo ya kina FALLY IPOUPA nimewaachia vijana




pia huyu jamaa ALIKIBWA alikuwepo pia siku hiku hiyo maganga jaaaaaaaaaz.




Biggie biggy mutu mukubwa mzee wa 1,2,3,....



NIKAKUTANA NA MKADAM HAPA NA JIRANI JIRANI WAKAPEWA


No comments:

Post a Comment