Saturday, 7 April 2012

uchunguzi wa kifo cha kanumba waendelea


 Mwili wa Marehemu kanumba ukiingizwa chumba cha maiti Muhimbili usiku wa kuamkia leo
 Swahiba mkubwa wa Marehemu Kanumba, Ray Kigosi, akiusindikiza mwili ndani
Marafiki wa karibu. Picha na Spoti Starehe

Mamia ya waombolezaji wa kada zote wanamiminika nyumbani kwa msanii nyota aliyetutoka usiku wa kuamkia leo Steven Kanumba, ambako wakati mipango ya mazishi ikiendelea polisi wanaendelea na uchunguzi wa kifo chake chenye utata. Tamko rasmi halijatoka nasi tunaomboleza huku tukifuatia kwa karibu. Tuvute subira wadau.

Habari za awali ambazo kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela amesema kuwa Kanumba alikuwa na kutoelewana kati yake na Mpenzi wake ambazo taarifa za awali zinasema waligombana na Kanumba alisukumwa na kugonga kichwa chini na mpenzi wake ambaye ametambuliwa kwa jina moja la Lulu.
Habari ambazo bado haijazithibitisha zinasema kuwa Kanumba alikuwa akioga ili atoke na ndipo aliposikia mpenzi wake akiongea na simu na mtu mwingine alipotoka kumuuliza ndipo mzozo kati yao ukaanza na katika hali ya kusumunana Kanumba alisukumwa akaanguka na kugonga kichwa chini.
Afande Kenyela alisema alipigiwa simu na ndugu wa Kanumba ambaye walikuwa wakiishi pamoja na Kanumba na walipofika Pale walikuta tayari ameshakata roho ila bado inasubiriwa ripoti ya daktari.
Kamanda Kenyela pia amesema kuwa mpenzi wak
e Maerehemu Kanumba anashikiliwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi. Lulu ambaye naye anag’aa kwenye tasnia ya Filamu amekuwa akigonga vichwa vya habari vya magazeti ya “udaku” kutokana na skendo za mara kwa mara za mahusiano ya kimapenzi, ni majuzi tu mwanadada huyu ametimiza miaka 18 tangu kuzaliwa.


Aidha nyumbani kwa marehemu Sinza kumejaa ndugu jamaa na marafiki kiasi barabara ya kwenda Lion kupitia Madukani inapitika kwa taabu.
Kanumba ambaye alizaliwa mwaka 1984 amefanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wa tasnia ya movie za Tanzania si tu kwa Tanzania bali hata nje ya nchi pia. Kwa mashabiki wa filamu za kibongo Kanumba alikuwa ni namba moja na kwa kiasi kikubwa aliweza kuweka viwango kwani alikuwa anafaa kwa kila kona kuanzia kuigiza mpaka kuvaa na adamu ya maisha tofauti na ma Super Star wengine hivyo kuwavutia watu wa rika lote. Kanumba anamaliza kipindi chake cha miaka 28 akiwa ameacha kumbukumbu ambayo itaishi kwa muda mrefu.
 Chanzo: Spoti na Starehe 

Mali coup leaders to stand down as part of Ecowas deal



 
Captain Amadou Sanogo, 3 April 2012 

Captain Amadou Sanogo seized power in a coup last month

Coup leaders in Mali have agreed to stand down and allow a transition to civilian rule, as part of a deal struck with regional bloc Ecowas.
In return, the bloc will lift trade and economic sanctions and grant amnesty to the ruling junta, mediators said.
The move came after Tuareg rebels in the north declared independence of territory they call Azawad.
The rebels seized the area after a coup two weeks ago plunged the West African nation into political crisis.
Independence call Under the terms of transition plan, military rulers will cede power to the parliamentary speaker, Diouncounda Traore, who as interim president will oversee a timetable for elections.
Once sworn in, Mr Traore would have 40 days to organise elections, the five-page agreement says.

After four days of a total economic embargo, the announcement will certainly come as a relief for the Malian population.
The agreement says that Ecowas will immediately prepare for the lifting of the tough sanctions it imposed on Mali earlier this week.
However, it doesn't specify when Captain Amadou Sanogo would hand over power to the head of the national assembly.
The sooner the better. The northern crisis will probably not be addressed before a legitimate government is in place in Bamako but the situation is now critical.
Tuareg-led rebels have declared independence for a vast land of lawlessness and confusion from which at least half the population, already impoverished, has fled either south or into neighbouring countries.
It is also a land where Islamist combatants, some of whom are linked to al-Qaeda, are now imposing Sharia law, and where witness accounts speak of abductions and rapes.
Regional defence chiefs of staff are drafting plans for a potential military intervention. But it would still take weeks and outside logistical help before it could be deployed.
The deal, signed by coup leader Captain Amadou Sanogo, states that Ecowas prepare for the ending of sanctions, but did not name a date for Capt Sanogo to hand over power.
"It will be necessary to organise a political transition leading to free, democratic and transparent elections across the whole of the territory," it states.
Officers led by Captain Sanogo seized power on 22 March, accusing the elected government of not doing enough to halt the rebellion in the north.
Earlier, international bodies rejected a call from Tuareg rebels for their newly named region of Azawad to be recognised as independent.
The secular National Movement for the Liberation of Azawad (MNLA) is one of two main groups fighting a rebellion in the north.
Ansar Dine, an Islamist group, has also made gains and has started to impose Sharia law in some towns.
Rights group Amnesty International has warned of a major humanitarian disaster in the wake of the rebellion.
Ecowas is preparing a force of up to 3,000 soldiers which could be deployed to stop the rebel advance.
France's Defence Minister, Gerard Longuet, said France could provide assistance to the force, including transport, Reuters news agency reports.
The Tuareg people inhabit the Sahara Desert in northern Mali, as well as several neighbouring countries and have fought several rebellions over the years.
They complain that they have been ignored by the authorities in the capital, Bamako.

source:bbc

HABARI ZAIDI CHANZO KIFO CHA KANUMBA

MDOGO WA MAREHEMU KANUMBA AKITOA MAELEZO
 

ELIZABETH MICHAEL LULU
 
HABARI ZINASEMA KWAMBA LULU ALIKWENDA NYUMBANI KWA KANUMBA NA KUKAWA NA UGOMVI BAADA YA HAPO WALIINGIA CHUMBANI,THEN LULU ALITOKA NA KUMUITA MDOGO WA KANUMBA NA KUMUELEZA KWAMBA KANUMBA KAANGUKA,MDOGO WA KANUMBA ALIPOINGIA CHUMBANI KAMKUTA KANUMBA KAANGUKA NA NDIPO ALIPOKWENDA KUMUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI LULU ALIKUA KASHATOKOMEA.
MPAKA MUDA HUU LULU KASHAKAMATWA ANAHOJIWA NA POLIS OYSTERBAY HUKU MWILI WA MAREHEMU UKIWA MOCHWARI MUHIMBILI

HALI HALISI ILIVYOKUWA LEO ASUBUHI NYUMBANI KWA KANUMBA BAADA YA KUFARIKI

zaidi
Watu wakiwa hawaamini kilichotokea 

DJ Choka nae akiomboleza kwa huzuni

Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu 

Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili  

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV  

 Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini

H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba 

Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi 

Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi 

 
 
picha na habari kwa hisani ya bongostarlinkblog

Friday, 6 April 2012

BREAKING NEWS:KANUMBA AFARIKI DUNIA GHAFLA KWA UGOMVI WA MAPENZI NA LULU


R.I.P.STEVEN KANUMBA



KWA HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE,STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA SAA SABA KUAMKIA LEO BAADA YA KUJIGONGA UKUTANI KISOGONI,AKIWA KATIKA UGOMVI MKUBWA NA ANAYESEMEKANA NI MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI LULU!.
INASEMEKANA HUYU BWANA NA MPENZI WAKE HUYO WALIKUA WAKIJIANDAA KWENDA OUT NA BAADA YA MAANDALIZI YA KUTOKA NDIPO LULU AKAWA ANAPIGIWA SIMU MARA KWA MARA NA JAMAA MWINGINE.
NDIPO MAREHEMU AKAPATA HASIRA NA KUANZA KUPOKONYANA SIMU HIYO NA KATIKA MTITI HUO KAJIGONGA NA KUZIMIKA THEN BAADAE IKAGUNDULIKA AMEFARIKI.MENGI YATAKUJA KUJULIKANA BAADAE MAANA HIZI ZOTE BADO NI TETESI MPAKA SASA UKWELI KAMILI HAUJAJULIKANA.

WAWEZA TUMA MCHANGO WAKO WA MAZISHI KWA NO HIZO TIGO PESA 0765111135, TIGO PESA 0713620962

REST IN PEACE BRO.

RAIS KIKWETE ATANGAZA WAJUMBE WA KAMATI YA KATIBA

Rais Kikwete akitangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo. Wakishuhudia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Sheria na Katiba Mama Celina Kombani


Rais Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakitoka chumba cha mikutano Ikulu baada ya Rais kutangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba
Rais Kikwete akitoa ufafanuzi kuhusu Tume ya mabadiliko ya Katiba aliyoitangaza, akisisitiza kwamba tarehe ya kuanza kazi itatangazwa rasmi mara baada ya wajumbe wote kujulishwa uteuzi wao na baadae kuapishwa. Ila kisheria tume inatakiwa iwe imekamiliosha kazi ndani ya miezi 18
PICHA NA IKULU
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,
Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________


UONGOZI WA JUU

1.
Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA  
-  Mwenyekiti
2.
Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino
RAMADHANI
-  Makamu Mwenyekiti



WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1.
Prof. Mwesiga L. BAREGU 

2.
Nd. Riziki Shahari  MNGWALI 

3.
Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4.
Nd. Richard Shadrack LYIMO

5.
Nd. John J. NKOLO

6.
Alhaj Said EL- MAAMRY

7.
Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8.
Prof. Palamagamba J. KABUDI

9.
Nd. Humphrey POLEPOLE

10.
Nd. Yahya MSULWA

11.
Nd. Esther P. MKWIZU

12.
Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13.
Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14.
Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15.
Nd. Joseph  BUTIKU




WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1.
Dkt. Salim Ahmed SALIM

2.
Nd. Fatma Said ALI

3.
Nd. Omar Sheha MUSSA

4.
Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5.
Nd. Awadh Ali SAID

6.
Nd. Ussi Khamis HAJI

7.
Nd. Salma MAOULIDI

8.
Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9.
Nd. Simai Mohamed SAID

10.
Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11.
Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12.
Nd. Suleiman Omar ALI

13.
Nd. Salama Kombo AHMED

14.
Nd. Abubakar Mohammed ALI

15.
Nd. Ally Abdullah Ally SALEH




UONGOZI WA SEKRETARIETI

1.
Nd. Assaa Ahmad RASHID
-  Katibu
2.
Nd. Casmir Sumba  KYUKI
-  Naibu Katibu