Wednesday, 30 November 2011

MAESTRO VUMBI & DEKULABAND LIVE 2-3 DEC LILLA WIEN SODRA

 

Dekula Band "Ngoma ya Kilo" 
Place: Wien"Little Nairobi" 
Date: 02-03.Dec.2011 
Time: 21.00-01.00 
Add: Swedenborgsg.20

JERRY MURO NA WENZAKE WAACHIWA HURU

Aliyekuwa Mtangazaji wa TBC1, Jerry Muro na wenzake 2, wameachiwa huru leo na hakimu Frank Mosha wa mahakama ya kisutu baada ya kuwaona hawana hatia na makosa waliyoshitakiwa nayo. Jerry na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashitaka matatu ya Kula njama ya kutenda kosa, kuomba rushwa na kujifanya maafisa wa Takukuru, madai ambayo yametupiliwa mbali kwa kukosa ushahidi.
 

Tuesday, 29 November 2011

FAIDA ZA KIKOMBE CHA LOLIONDO


Babu mwasapile akiwa na "kajiusafiri" kake alikopata baada ya kuwanywesha watu vikombe vya haja

hapa akiwa mjengoni kwake
halafu watu wanasema akashtakiwe afilisiwe nani kasema?kwani ye alimbeba mtu kwenda huko!kila mtu alijipeleka mwenyewe kwa nauli yake,na babu akamtembezea kikombe sasa kuna kosa hapo?
watakaojaza ni wale waliobugia yale "maji matakatifu" ya babu kwa imani ya kupona sasa hivi muacheni babu nae ajilie vyake kwa amani,kwani nani anapenda kukaa kwenye nyumba ya manyasi kila siku na kuendesha baiskeli chapa swala?
tumuache babu sasa ngwe yake imepita ale raha

TWANGA PEPETA NEW SONG-DUNIA DARAJA

TWANGA PEPETA WALIVYOPAGAWISHA LONDON


martin kibosho akikaanga chips km kawa
                                                     amigolas akionyesha cheche na mnenguaji

                                   mashabiki walikua kibao wakisugua kisigino inavyopaswa

Thursday, 24 November 2011

AMIGOLAS NA SALEH KUPAZA WAONGELEA ZIARA YA TWANGA PEPETA U.K.




Wanamuziki Amigous na Saleh Kupaza kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUDANI" wakiongelea kuhusu maandalizi ya ziara yao nchini Uingereza katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yatakayofanyika tarehe 26 Novemba 2011 katika ukumbi wa Club 2000 Banqueting Suite (Former Silver Spoon) Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB kuanzia saa 3 usiku mpka saa 10 alfajili. Kiingilio ni £20.00 kwa single na couple £35.00 kabla ya saa sita usiku.
Asanteni