Thursday 24 November 2011

AMIGOLAS NA SALEH KUPAZA WAONGELEA ZIARA YA TWANGA PEPETA U.K.




Wanamuziki Amigous na Saleh Kupaza kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUDANI" wakiongelea kuhusu maandalizi ya ziara yao nchini Uingereza katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yatakayofanyika tarehe 26 Novemba 2011 katika ukumbi wa Club 2000 Banqueting Suite (Former Silver Spoon) Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB kuanzia saa 3 usiku mpka saa 10 alfajili. Kiingilio ni £20.00 kwa single na couple £35.00 kabla ya saa sita usiku.
Asanteni

No comments:

Post a Comment