Friday 11 November 2011

HII ILIKUWA MAYA,S BIRTHDAY



binti yetu Maya mwenyewe akitukaribisha kwa ukarimu kiafrica zaidi

baada ya kupiga masanga ya kutosha
mpango mzima ulikua hivi usipimie hapo


lily ndio alikua kinara kusababisha hii mikasa


jopo zima la wazee wa kuchapa tukiendeleza mjadala
mshambuliaji wa kutegemewa mr sean siku hiyo hakufanya ajizi ilikua ni tonge nyama mpaka kuchee,maana ukifikiria zile kolv,macaroni na smorgås tartår tunalishwa mwaka mzima ukikutana na hii kitu ndonga hujivungi ati



mechi ikiendellea


picha zingine na matukio baadae nawahi mipakazoni


3 comments:

  1. Huu sasa ni utamanishaji wa hali ya juu na ni uchoyo:-) HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MAYA ila sijui ni leo au ilikuwa siku nyingine?

    ReplyDelete
  2. ha ha haa,dada yasi nakwambia usogee sogee huku upate mambo hutaki.inabidi ule na macho

    ReplyDelete
  3. Grattis Maya lakini Isaackin hizo picha za msosi jamani mbona hiviiiiii unatutamanisha wenzio...yaani hapa nala kwa macho tuuu

    ReplyDelete