Wednesday 23 November 2011

AJALI MBAYA RIVERSIDE UBUNGO



Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana (PICHA KWA HISANI YA MJENGWABLOG)

No comments:

Post a Comment