Thursday 24 November 2011

joseph kaniki na william john wapokelewa rasmi "KONYA IF"sweden

 
 joseph kaniki akionyesha jezi yake ya timu hiyo
william john nae akionyesha jezi yake ya timu hiyo
wachezaji wote wamepokelewa baada ya kujiunga rasmi na kikosi hicho kutokea katika timu ya Reymersholm IF. 
blogu hii inawatakia kazi njema hapo walipo

No comments:

Post a Comment