Friday 11 November 2011

friday song"MIMI NISEME NAWEWE USEME NANI ATAMSIKILIZA MWENZIE"



mnakumbuka hiki kibao wadau?nimeona leo tujikumbushe enzi za Banza stone kiukweli.Banza bado yupo yupo sasa anakipiga pale extra bongo ukienda j,mosi meeda bar hutamkosa,na bado anaendelea kuwachezesha watu na still sio kwamba kachoka kihivyo kiusanii bado mzima sana ingawa kiafya ndo hivyo tena.
hayaa sikia kibao hicho pata ujumbe na kipindi anazindua hii album na bambino sound pale diamond jubilee enzi hizo nilikuwepo kumuunga mkono.

No comments:

Post a Comment