Wednesday 23 November 2011

RAIS KIKWETE AKUBALI KUKUTANA NA CHADEMA


  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea barua ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kuomba viongozi wa chama hicho kukutana na Mheshimiwa Rais kuzungumzia Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.

  • Mheshimiwa Rais Kikwete amelipokea ombi hilo kwa furaha kwa sababu ni jambo jema

  • kufuatia kukubaliwa kwake ombi hilo,rais ameagiza mawasiliano yafanyike ili kupanga tarehe mwafaka ya kukutana na wana CHADEMA  na kuzungumzia swala hilo

No comments:

Post a Comment