Amani akiingia ukumbini na papaa Clay Onyango(orkarinte.se)


yeah show nzima ikazinduliwa kwa mpango huu wa kuonyeshwa"trela"



nyomi lilikua si la kawaida namuona naxy(naxylady.blogspot.com)kazini na kamera
mcheza show wa amani
sio mchezo ilikua ni mambo ya kuona mabumunda tu no digit

dj mike kazini

nyomiii wachumba kibao,siku hiyo wazee wa kuchanganya abari siwaoni

papaa clay and amani.kwa msiojua clay ndio promota aliyesababisha kumleta Amani all way kutoka Kenya.na jiandae maana chidumu A.K.A KIDUM anakuja soon


showtime,ni mbinjuko style kwa kwenda mbere


taswiraz






DJ Mike and Amani




mwisho wa show ilikua hapo,na ndio mwanzo wa shughuli nyingine,mwenye kwenda kwenye after party haya,mwenye kusubiri treni ya kwanza kurudi hm haya,mwenye kukodi taxi haya,mwenye kwenda kulala station haya mpaka kuna wanaoamua kutembea kurudi nyumbani hiyo yote ni burdani tu mradi umeme upo na maji full time,kurona zitatafutwa tu.
picha kwa hisani ya.KSB BLOG NA DJMIKE
picha kwa hisani ya.KSB BLOG NA DJMIKE
No comments:
Post a Comment