Tuesday 29 November 2011

FAIDA ZA KIKOMBE CHA LOLIONDO


Babu mwasapile akiwa na "kajiusafiri" kake alikopata baada ya kuwanywesha watu vikombe vya haja

hapa akiwa mjengoni kwake
halafu watu wanasema akashtakiwe afilisiwe nani kasema?kwani ye alimbeba mtu kwenda huko!kila mtu alijipeleka mwenyewe kwa nauli yake,na babu akamtembezea kikombe sasa kuna kosa hapo?
watakaojaza ni wale waliobugia yale "maji matakatifu" ya babu kwa imani ya kupona sasa hivi muacheni babu nae ajilie vyake kwa amani,kwani nani anapenda kukaa kwenye nyumba ya manyasi kila siku na kuendesha baiskeli chapa swala?
tumuache babu sasa ngwe yake imepita ale raha

1 comment:

  1. YANI NAKUUNGA MKONO KBSAAAAAAAAAAAAAA WAMUWACHE MZEE WA WATU KM KIKOMBE WALITAKA WENYEWE HAWAKULAZIMISHWA. TENA AKIPATIKANA MIWNGINE MWENYE MAARIFA KM YA BABU ANE APEWE TU GO AHED KWA RAHA ZAKE

    ReplyDelete