Saturday 12 November 2011

HAPPY BIRTHDAY PAPAA MUKUBWA CLAY ONYANGO

CLAY ONYANGO ama mr (ORKARINTE.SE)


leo ni siku ya kuzaliwa kwa kaka mkubwa huyu CLAY ONYANGO(ORKARINTE.SE)
broda clay ni rafiki promota na mfanyabiashara mkubwa jijini stockholm
na kwa dokezo alilonipa ni kwamba birthday yake atasherehekea kikamilifu siku kidum anatumbuiza stockholm tar 2 dec 2011
kwa mnaotaka kujua kafikisha miaka gani,ni kidogo tu ishirini na kadhaa

blogu hii pendwa inamtakia kheri,afya na maisha marefu zaidi



No comments:

Post a Comment