Tuesday 16 February 2010

MAMBO YA MAFIAN FISH BAR DAR


haya tena wakuu kiota kipya kimefunguliwa chini ya mkurugenzi ommy kimbau,kama kawaida pale ni special ya samaki aina zote uzijuazo,kama unavyoona hapo chini waweza pita ukajihakikishie mambo mazuri.

msosi kamili kama unavyoona mdau.

haya tena hiyo twaambiwa yaitwa lady jay dee changu special mh,inavutia kwakweli.

source:ladyjaydee.blogspot.com

No comments:

Post a Comment