Tuesday 9 February 2010

VALENTINE YA TWANGA PEPETA NA LOL POP


vimwana wa twanga wakila pozi la kivalentine,haya kwa mlio bongo raha ndo hizo,siku hiyo watatwanga ndani ya landmark hotel ubungo.


chalz baba na queen suzy wakiwa wamepiga pozi kali la valentine.

No comments:

Post a Comment