Tuesday, 12 March 2013

Breaking News:tishio la bomu skanstull

Kumekuwepo na habari kwamba maeneo ya skanstull na sodermalm kuna bomu. Limetegwa.hali maeneo hayo ni mbaya na mpaka sasa traffik imesimamishwa mitaa ya skanstull.inavyosemekana ni kwamba polis mmoja aliibonyeza alarm kwa kile kinachosemekana kuna bomu limetegwa jirani na claroon hotell.mpaka muda hui ni kwamba watu wote wameondoshwa eneo la tukio na wataalamu wa kutegua mabomu washafika eneo hilo.polis pia wako eneo la tukio kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.

Habari zaidi mtazipata badae-isaackin

No comments:

Post a Comment