Saturday, 23 March 2013

ZILIPENDWA HIZI-JB Mpiana ft Wenge BCBG at Zenith 1999@wampsmania comEnzi hizi ndipo nilianza kupenda bolingo.sijui ni kwa ajili utu uzima ulikua unaniingia ama vipi.nikikumbuka miaka hii pale kinondoni ilikua kama vile ugonjwa maana kila mtu kusema kweli alikua anapenda bolingo.na yes JB MPIANA alikuja bongo akazindua album titanike pale pale kinondoni vijana social hall(sio mango).
nikikumbuka burudani tuliyopata siku hiyo sipati picha.ndani hapo walikua timu nzima ikiongozwa na jibe mwenyewe.Blaise bulla,Emilia,Tutu Caloudji,Fuji Menthe,Ecocota.Enzi hizo ndio kina Didier Masela,Werrason na Adolph Dominguez walikua wamejitoa na kwenda anzisha Wenge Maison merre baada ya kushindwana na Jb.na kwa taarifa tu ni kwamba Didier Masela ndio muasisi hasa wa kundi hilo   enzi hizo.

pata burudani mdau week-end njema

No comments:

Post a Comment