Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi Kikosi kazi cha SKYLIGHT BAND kikimwaga sebene kwa mashabiki wao Ijumaa ya mwisho wa wiki kwenye kiota chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.

Wazungu wakionekana kupagawa na Bolingo lililokuwa likiporomoshwa na vijana wa Skylight Band kwenye Uwanja wao wa nyumbani Thai Village.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akitunzwa na shabiki wake.
Mdau akishow love mbele ya Camera yetu.
Warembo walikuja kusheherekea Birthday ya rafiki yao Barbara.
Aneth Kushaba AK47  akifanya yake jukwaani sambamba na Mary Lukas wakilisongesha.
Mashabiki waliacha kucheza na kuanza kuangalia vibwanga vya wanamuziki wa Skylight Band.
Kutoka kushoto ni Salma Yusuf, Aneth Kushaba AK47 na Mary Lukas wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki.
Birthday Girl Barbara akisakata rhumba na marafiki zake.
Aneth Kushaba AK47 akiwajibika jukwaani.
Mary Lukas wa Skylight Band akimwimbia shabiki wake aliyetokea kupagawa na uimbaji wa binti huyo akiwa haamini macho yake.
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuburudika na muziki mzuri kutoka kwa vijana wenye vipaji.
Mkali wa Hip Hop nchini Fareed Kubanda a.k.a FID Q akishow love na Blogger King Kif kutoka..http://Wwwmasterkif.blogspot.com. Fid Q ni mara yake ya kwanza kufika kushuhudia show  ya Live ya Skylight Band na aliwapa big up sana vijana kwa kazi nzuri.
Msanii wa Bongo Flava anayekimbiza kwa sasa mujini Ommy Dimpoz kwa pozi naye ni miongoni mwa wahudhuriaji wazuri wa Skylight Band.
Wadau Yussuf na Monteen wakishow love.
Kushoto ni king Kif kutoka ...http://Wwwmasterkif.blogspot.com aki shoo luv na sunday wa Magic FM na Aneth Kushaba AK 47...
Salma Yusuf wa Skylight Band( wa pili kushoto) akishow love na mashabiki wake.
Mary Lukas wa Skylight Band na Fans wake.
Mashabiki wa Skylight Band wakishow love mbele ya Camera yetu.
Hapo vipi imekaaje poa eeeh….Mrembo akiweka pozi kupata snap.
Mkurugenzi wa Perfect Lady Saloon ya Kinondoni(katikati) akishow love na Star wa Bongo Movie Snura (kul;ia) pamoja na shostito wao.
Mashabiki wa Skylight Band katika pozi matata kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Brothers for life…. Masela wa Kijitonyama wakishow love.
Na sisi bwana tupate picha za ukumbusho kila siku wang’ae warembo tuuu…Fans wa Skylight Band.
Girls looking hot…!!!
 
Chanzo:moeblog