Friday, 15 November 2013

Canal Top ashikwa na madawa ya kulevya China


Canal top kuliaKanal top kulia
Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo. Habari zilizotufikia Bongoclan ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact maarufu kama CANAL TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA akaMADAWA YA KULEVYA.
Sasa bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushu wetu chna watalifanyia hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea wasomaji wetu

No comments:

Post a Comment