Sunday, 3 November 2013

UKARABATI NA UPANUZI WA BARABARA YA KIVUKONI FRONT JIJINI DAR ES SALAAM




 Huenda hii ikawa ni mara ya mwisho mdau kuona taswira ya barabara hii ya Kivukoni Front jijini Dar es salaam katika muonekano huu wa toka enzi na enzi maana ujenzi na upanuzi wa barabara hii kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka ndio umeanza na tayari mabadiliko yameanza kuonekana









chanzo:michuzimatukio

No comments:

Post a Comment