Thursday, 31 October 2013

KISEBEENGO BABA-MAQUISE ORIGINALE+VUMBI DEKULAKWA UFUPI THIS WAS ONE OF MY FAVOURITE OLD  SONG OF ALL TIME,NAKUMBUKA HII TUNE YA HAWA JAMAA ILIWAHI KUIGWA NA VIJANA JAZZ ENZI ZA HEMED MANETI.WALIWAHI KUPIGA NYIMBO WAKIIGA TUNE HII

PIA NISIKATAE KUSEMA KWELI ILIWAHI KUTOKEA NILIHUDHURIA ONYESHO LA MAQUISE DU ZAIRE MWAKA 88-89 PALE UKUMBI WA UTAMADUNI SINGIDA NA WALILETWA NA MBIO ZA MWENGE.THAT TIME NILIKUA SIRUHUSIWI KUINGIA UKUMBINI LAKINI NILIINGIA KIUJANJA TU NA NIKALA MUZIKI INAVYOTAKIWA.
MIZIKI HII ILIPIGWA NA TULICHEZA SAAANA,NA KIUKWELI MIAKA ILE KULIKUWA HAKUNA BENDI ILIKUA IMEKAMILIKA KAMA MAQUIS DU ZAIRE "WANA SENDEMA YA MOOOTO".NAKUMBUKA BALAA LA VUMBI KWENYE SOLO ILA SIWEZI KUMSAHAU NGUZA VIKING NAE AKIWA NDIO KINARA WA KULITWANGA SOLO KIUMARIDADI ENZI HIZO.

ANYWAY VUMDI DEKULA KAHANGA TUNAYE HAPA STOCKHOLM NA KESHO ANACHARAZA NYUZI BIN NYUZ KAMA KAWAIDA PALE SODRA.USIKOSE KUJA KUSIKIA VIBAO VIPYA NA VYA ZAMANI.

ISAACKIN ATAKUWEPO KUCHUKUA TASWIRA.

No comments:

Post a Comment