Friday, 20 December 2013

BREAKINGNEWS Rais Jakaya Kikwete ametengua uteuzi wa mawaziri wanne


Rais Jakaya Kikwete ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia ripoti ya kamati ya bunge kuhusu operesheni tokomeza kubaini uzembe wa vyombo wanavyosimamia. Akitoa taarifa hiyo bungeni waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema mawaziri hao wanne ni waziri wa maliasili na utalii balozi Hamis Kagasheki, waziri wa mambo ya ndani Dr. Emmanuel Nchimbi na waziri wa ulinzi Mh. Shamsi Vuai Nahodha na Dr. Mathayo David Mathayo wa mifugo, na maendeleo ya uvuvi.

Chanzo.ITV

No comments:

Post a Comment