Friday, 7 March 2014

MAYA ORIGINAL-SIMARO LUTUMBAUkisikia hii rhumba tune yake lazima umkumbuke Mafumu Bilal Mbombenga ambaye nae aliimba nyimbo hii kwa kiswahili na kujipatia umaarufu mkubwa sana.kuna watu mpaka sasa ukiwaambia watu kwamba haukuwa utunzi wake alimuiga huyu jamaa hapa hawatakuamini.

No comments:

Post a Comment