Saturday, 22 March 2014

CHOZI LA MUNYONGE-NGWASUMA LIVEYaah miaka hiyo albam tulizindua wenyewe mitaa ya Fm Club kino.na hii ilikua paty two.ya kwanza tulizindua fm band pale miaka hiyo pia,papii kocha yuko underage anakuja omba japo apigepige tumba,enzi za kina serge mwila,B52,Motoo kwenye tumba.kulikua na bebee Kigoma,Elly kichinja na wengine kibao wamenitoka.
Enzi hizo watu vitineja lakini pengar za bia na matanuzi za kumwaga

No comments:

Post a Comment