Sunday, 15 June 2014

Dekula Band"Ngoma Ya Kilo" live Lilla Wien"Little Nairobi" 20-21-06-2014


"Wazee Wapewe" presents;
Soukous Explosion!
Dekula Band"Ngoma Ya Kilo"
Place: Lilla Wien"Little Nairobi"
Date: 20-21/06/2014
Time: 21.00-01.00
Addr: Swedenborgsg.20
Pendel: Södra station
Buy it at itunes,amazon new CD,
Shujaa Mamadou Ndala.
https://www.youtube.com/watch?v=-AfaNuoqKXw

VIDEO-MAN KILLED OUTSIDE SOMMAR CLUB STOCKHOLM


Man stabbed to death outside Stockholm club
Police carry out a technical examination at the crime scene in Stockholm where a 20-year-old man was stabbed to death. Johan Nilsson / TT


A man in his 20s has died in hospital after being stabbed in the stomach during a brawl close to a popular club in the capital.














The incident took place in the early hours of Sunday morning close to the 'Sommar' nightclub in the centre of the city. He was rushed to the Karolinska University Hospital where he succumbed to his injuries. 
"There was some kind of fight which ended up with one person being stabbed," Fredrik Nylén of the Norrmalm police told the Expressen newspaper.
Police have arrested a man, also in his 20s, at the scene and he is being held on suspicion of murder. A knife was later confiscated.
An eyewitness told the Aftonbladet newspaper that the situation was "insane" as security guards tried to save the man's life.
Police sources said they believed that the trouble began at the club and then spilled outside. They have declined to elaborate on whether the victim was known to the man who was subsequently arrested.
"There are a number of assumptions but I do not want to give any details until we have carried out all the questioning of those involved," added Fredrik Nylén.
A number of witnesses have since been questioned by police and further witnesses will be heard today. A forensic examination of the crime scene was carried out during the morning and an investigation has begun.  

Watch video HERE
TT/The Local/pr

Friday, 13 June 2014

Summer Stockholm hapo ni jua la saa nne usiku



Maisha yanakua magumu sana kipindi hiki km hunywi biere aisee.

moto wateketeza soko lote la Karume


SOKO la Mchikichini jirani na Uwanja wa Karume jijini Dar limeungua na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wapatao 4, 000, kwa mujibu wa mwenyekiti wa soko, Jumanne Kangogo.Moto huo inasemekana ulianza kuwaka jana saa 4 usiku huku chanzo hakijajulikana, wengine wakisema ni shoti ya umeme na wengine wakidai ni hujuma ambazo zimefanyika kulichoma soko hilo

Gpl

Sunday, 1 June 2014

SIKU YA KISWAHILI 7 June 2014, Stockholm



Kwa Jumuia ya Watanzania,

Mnakumbushwa ukaribisho wa kuhudhuria Siku ya Kiswahili itakayofanyika tarehe 7 June 2014 katika ukumbi wa Bergshamra Skola, Hjortstigen 1, Bergshamra, Solna. Shughuli hii itaanza saa 7.00 kwa chakula cha mchana. 

Kwa wale wenye bidhaa za kuuza au kuonyesha wanakaribishwa kufanya hivyo. Toa taarifa kwa Bw. Osore Ondusye 0736350189 ili aweke meza na wahi katika ukumbi saa 6.30 mchana.

Kipeperushi kwa ajili ya shughuli hii kimeambatanishwa.

Ukipata taarifa tafadhali mwarifu na mwingine.


Jacob Msekwa
kny: BALOZI

KUMUAGA BALOZI

Kwa Watanzania na marafiki wote!

Tu
    Nawapa taarifa ya kwamba Balozi wetu Muhammed Mwinyi Haji muda wake wa kustaafu umeshafika, na anapendelea kuwalika watanzania wote kuhudhuria katika tafrija ya kumuaga. Tafrija hiyo itafanyika hapo ubalozini siku ya Alhamis tarehe tano jioni, saa 11:00 mpaka usiku saa 1:00 Karibuni nyote.
 
 
   Na pia natoa taarifa ya ndugu yetu Rajab ambae amefiliwa na mzee wake Tanzania.  Kwa ajili ya kumpa pole wasiliana nae katika nambari ya simu 0707597577
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahalipema. Amin
 
 
Katibu

DIAMOND AGONGA SHOW YA NGUVU NEW JERSEY U.S

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani.
Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.
 Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ.
Shabiki akidata na show ya prezidaa wa Wasafi.
Shabiki mwingine akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale.
 All Star Club Elizabeth New Jersey; Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.
 AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey.
AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufungua pazia iliyofanyika New Jersey na baadaye Prezidaa wa Wasafi, Diamond Platnumz kuwapagawisha mashabiki wake wa ukanda wa pwani ya mashariki.
Ni Rais wa Wasafi akishambulia jukwaa akiwa na madancer wake kwenye show ya kukata na shoka iliyofanyika New Jersey na kuvuta mashabiki kutoka kila kona ya pwani ya mashariki ambayo ni DC, PA, NJ, NY, CT, MA na kwingineko.
(Picha zote na Vijimambo Blog)