Sunday, 1 June 2014

KUMUAGA BALOZI

Kwa Watanzania na marafiki wote!

Tu
    Nawapa taarifa ya kwamba Balozi wetu Muhammed Mwinyi Haji muda wake wa kustaafu umeshafika, na anapendelea kuwalika watanzania wote kuhudhuria katika tafrija ya kumuaga. Tafrija hiyo itafanyika hapo ubalozini siku ya Alhamis tarehe tano jioni, saa 11:00 mpaka usiku saa 1:00 Karibuni nyote.
 
 
   Na pia natoa taarifa ya ndugu yetu Rajab ambae amefiliwa na mzee wake Tanzania.  Kwa ajili ya kumpa pole wasiliana nae katika nambari ya simu 0707597577
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahalipema. Amin
 
 
Katibu

No comments:

Post a Comment