Friday, 13 June 2014

moto wateketeza soko lote la Karume


SOKO la Mchikichini jirani na Uwanja wa Karume jijini Dar limeungua na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wapatao 4, 000, kwa mujibu wa mwenyekiti wa soko, Jumanne Kangogo.Moto huo inasemekana ulianza kuwaka jana saa 4 usiku huku chanzo hakijajulikana, wengine wakisema ni shoti ya umeme na wengine wakidai ni hujuma ambazo zimefanyika kulichoma soko hilo

Gpl

No comments:

Post a Comment