Saturday, 15 June 2013

bomu lalipuka kwenye mkutano wa chadema Arusha na kuua watatubomu hilo linaasemekana lilitegwa au kurushwa kwa mkono baada ya mkutano wa chadema kuisha.watu watatu wanasemekana kufariki papo hapo na wengi kujeruhiwa.

habari zingine baadaye

No comments:

Post a Comment