Saturday, 1 June 2013

UNAIKUMBUKA HII-MIMI WEWE-MR BLUE&ABBY KILLZnikikuuliza kuhusu hii nyimbo sijui mwenzangu utanambia unakumbuka nini!.kwa kutoongopa niliusikia huu wimbo na kuupenda kwa mara ya kwanza siku moja pale pentagon bar ifakara.sikua nakaa huko,nilikua safarini nikalala pale siku mbili nikipata upepo na hapo mjini miaka hiyo kulikua na hiyo bar ya wajanja inaitwa pentagon.mengine yaliendelea huko ilikua hadithi ila kikubwa kilichonifanya niipende hii nyimbo ilipigwa sana pale na mie nilikua katika situation flani ya kulongofya.lakini niliipnda zaidi nyimbo baada ya kufika bongo na kukuta halöi mbaya zaidi.

hadithi itaendelea baadae

No comments:

Post a Comment