Tuesday, 4 June 2013

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA WAWASILI TAYARI KWA SHUGHULI ZA KUAGA.

 

Baadhi ya masuperstar wa bongo wakiwa tayari wamefika uwanjani hapo kwaajili ya shughuli za kuaga mwili wa marehemu Mangwea ambao baada ya shughuli hiyo leo utasafirishwa kuelekea Morogoro ambako ndo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya miliele hapo kesho.
Image credit: DJ Choka 
Gari liliobeba mwili wa marhemu Mangwea likiwa viwanja vya Leaders Club tayari kwa mwili kushushwa. Image credit Kajunason Blog
Umati wa watu uliopo viwanja vya Leaders muda huu.

Image credit Kajunason Blog

No comments:

Post a Comment