Thursday, 8 August 2013

watalii wamwagiwa tindikali zanzibara

Hii habari nimeiona jana katika pitapita mitandaoni.leo hii naangalia rapport svt asubuhi nakutana na hiyo taarifa.kwahiyo kwasasa inazunguka duniani.Zanzibar wamefanya hicho kitendo lakini inatajwa Tanzania.wazanzibari wanaelewa kweli damage ya hicho kitendo walichokifanya?.inasikitisha kuona mambo ya kijinga kama hayo imefikia mnayafanya kwa watalii.kosa lake mtalii ni nini?yeye anakuja pale kuspend pesa alizohangaika kuzichuma.na vilevile anawaletea neema.maana kutoka kwa mtalii mnafanya biashara za kila aina.kwasasa mjiandae kufunga mkanda maana hakuna mtalii atakayejileta kuja mwagiwa tindikali,kwaswala hilo imekula kwenu.bila mtalii hicho kisiwa ni hamna kitu.
Endeleeni kubaki na akili yenu ya kucheza bao kutwa bila kufanya kazi.na ile mishkaki mliyokuwa mnawauzia wataliipale forodhani jiandaeni kula wenyewe.huko bara watalii watakuja tu

No comments:

Post a Comment